Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,357
- 1,596
- Thread starter
- #81
Education is more valuable than business/money in long run.Hilo tambua kwanza
Elimu sio tatizo hata kidogo hata Katika kufanya Biashara inatumika elimu tena kubwa sana(negotiation,tax laws,) Business is the science hivyo ni vizuri ukawa na Elimu ya kutosha kuhusu uwanda huo.
Kama elimu sio tatizo Kama tulivyoona hapo juu sasa kwanini una unauliza kuhusu kwenda kupata elimu?Si kila elimu inafaa kuipata hasa kulingana na mahitaji ya muhusika,angalia mahitaji/malengo/ndoto zako kabla ya kuchagua aina ya elimu unayotaka kuiweka kichwani.
Unajuwa wengi wetu tunachanganya kuhusu Education and School/College.Hakuna uhusiano wa aina yoyote ile kati ya elimu na Shule/Chuo.Baadhi yetu tunadhani ili upate elimu inahitaji ukae darasani na kukariri makaratasi na baadae upate ka degree kako,kumbe si kweli kabisa.Elimu inajitegemea bila hata Shule/chuo.
Kuna mtu mmoja mwelevu alipata kusema"Education is private matter between the person and the world of knowledge and experience,and has little to do with school or college.
Kwa upande wangu najutia sana muda niliopoteza kwa kupata elimu hasa hii tunayoita elimu ya juu.
Elimu yangu ya kidato Cha 4 ingetosha kabisa kabla ya sijaingia katika ulimwengu wa experience.
Usiende chuo na ukaacha Biashara yako ni ujinga wa Hali ya juu ila usiache kupata Elimu sababu Biashara inahitaji elimu.
Naona wewe umenielewa na anavyomaanisha mshauri umeelewa haswaa
Hata yeye haamini mtu kukaa darasani.a
Anasema kuwa elimu ni vile unavyojifunza kila siku.unapokuwa umeelimika katika kujifunza ktu bas inatosha si lazma nipoteze muda darasani,hata bidii ya mtu mwngn naweza kujifunza na mm nikawa na elimu