Acha shule fanya biashara

Acha shule fanya biashara

Education is more valuable than business/money in long run.Hilo tambua kwanza
Elimu sio tatizo hata kidogo hata Katika kufanya Biashara inatumika elimu tena kubwa sana(negotiation,tax laws,) Business is the science hivyo ni vizuri ukawa na Elimu ya kutosha kuhusu uwanda huo.

Kama elimu sio tatizo Kama tulivyoona hapo juu sasa kwanini una unauliza kuhusu kwenda kupata elimu?Si kila elimu inafaa kuipata hasa kulingana na mahitaji ya muhusika,angalia mahitaji/malengo/ndoto zako kabla ya kuchagua aina ya elimu unayotaka kuiweka kichwani.

Unajuwa wengi wetu tunachanganya kuhusu Education and School/College.Hakuna uhusiano wa aina yoyote ile kati ya elimu na Shule/Chuo.Baadhi yetu tunadhani ili upate elimu inahitaji ukae darasani na kukariri makaratasi na baadae upate ka degree kako,kumbe si kweli kabisa.Elimu inajitegemea bila hata Shule/chuo.

Kuna mtu mmoja mwelevu alipata kusema"Education is private matter between the person and the world of knowledge and experience,and has little to do with school or college.

Kwa upande wangu najutia sana muda niliopoteza kwa kupata elimu hasa hii tunayoita elimu ya juu.
Elimu yangu ya kidato Cha 4 ingetosha kabisa kabla ya sijaingia katika ulimwengu wa experience.

Usiende chuo na ukaacha Biashara yako ni ujinga wa Hali ya juu ila usiache kupata Elimu sababu Biashara inahitaji elimu.

Naona wewe umenielewa na anavyomaanisha mshauri umeelewa haswaa
Hata yeye haamini mtu kukaa darasani.a
Anasema kuwa elimu ni vile unavyojifunza kila siku.unapokuwa umeelimika katika kujifunza ktu bas inatosha si lazma nipoteze muda darasani,hata bidii ya mtu mwngn naweza kujifunza na mm nikawa na elimu
 
Huu ni ushauri kutoka kwa rafiki yangu.

Hello jamii forums
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26,nimeajiriwa na vile vile nina biashara yngu binafsi.

Lakini nina ndoto za kurudi shule ambayo inaweza kunichukua miaka mi saba hivi.

Lakini nimepata pingamizi kutoka kwa rafiki wangu wa karibu akidai kuwa haoni kama ninauitaji wa elimu.

Aliendelea kwa kusema kwamba ulimwengu wa sasa elimu iko mikino mwako ni wewe sasa kuitumia maana watu wengi wanasoma ili waajiriwe na haoni sababu ya mimi kufanya hivyo na kati nina mwanzo mzuri wa maisha naweza kutumia akili yangu kupanunua na kukuza biashara yangu.

Muda utakaopoteza shule ni muda wa wewe kuitwa millionea.

Aliniambia nifanyie tasmini miaka misaba ya shule na
Miaka misaba ya kufanya biashara.

Alimaliza kwa niambia kwamba yeye binafsi alijutia sana muda alioupoteza chuo kikuu na elimu ya chuo haikumsaidia kitu,kilichomsaidia kufikia mafanikio yake ni akili yake binafsi,juhudi zake binafisi,kujiamini ....laiti hasingeenda chuo,miaka minne pale chuo ilitosha yeye kufanya kitu cha kumpa maandeleo....

Mwana jamii forums
Na wewe unaweza kutoa mtzamo wako
Asante na karibu
Rudi shule soma masomo ya jioni,akili za kuambiwa changanya na zako, marafiki zetu wengi si washauri wazuri, shilole kila mara analilia kukosa shule, kina odemba wote LA saba, pesa wanazo ila nafsi zinawasononeka kuishia la saba.
 
Hivi yule boss wa Azam ana kiwango gani cha degree? Diamond platnumz ana degrees ngapi?

Cha msingi Kama Unatamani kusoma kasome lakini muhimu ni kujua lugha ya kimataifa ikuwezeshe ku negotiate Business

hayo mengine utawaajiri wasomi wakusaidie ukishakuwa na pesa
 
Wachina wako had Colombia huko ila wanajua lugha ya kichina tu
Hivi yule boss wa Azam ana kiwango gani cha degree? Diamond platnumz ana degrees ngapi?

Cha msingi Kama Unatamani kusoma kasome lakini muhimu ni kujua lugha ya kimataifa ikuwezeshe ku negotiate Business

hayo mengine utawaajiri wasomi wakusaidie ukishakuwa na pesa
 
Huko akasome nini Geography? Pysics au History?

Niambie hayo masomo anasoma nini hasa.
Rudi shule soma masomo ya jioni,akili za kuambiwa changanya na zako, marafiki zetu wengi si washauri wazuri, shilole kila mara analilia kukosa shule, kina odemba wote LA saba, pesa wanazo ila nafsi zinawasononeka kuishia la saba.
 
Huu ni ushauri kutoka kwa rafiki yangu.

Hello jamii forums
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26,nimeajiriwa na vile vile nina biashara yngu binafsi.

Lakini nina ndoto za kurudi shule ambayo inaweza kunichukua miaka mi saba hivi.

Lakini nimepata pingamizi kutoka kwa rafiki wangu wa karibu akidai kuwa haoni kama ninauitaji wa elimu.

Aliendelea kwa kusema kwamba ulimwengu wa sasa elimu iko mikino mwako ni wewe sasa kuitumia maana watu wengi wanasoma ili waajiriwe na haoni sababu ya mimi kufanya hivyo na kati nina mwanzo mzuri wa maisha naweza kutumia akili yangu kupanunua na kukuza biashara yangu.

Muda utakaopoteza shule ni muda wa wewe kuitwa millionea.

Aliniambia nifanyie tasmini miaka misaba ya shule na
Miaka misaba ya kufanya biashara.

Alimaliza kwa niambia kwamba yeye binafsi alijutia sana muda alioupoteza chuo kikuu na elimu ya chuo haikumsaidia kitu,kilichomsaidia kufikia mafanikio yake ni akili yake binafsi,juhudi zake binafisi,kujiamini ....laiti hasingeenda chuo,miaka minne pale chuo ilitosha yeye kufanya kitu cha kumpa maandeleo....

Mwana jamii forums
Na wewe unaweza kutoa mtzamo wako
Asante na karibu
Sikiliza moyo wako mkuu
 
Asilimia 80% ya tunayofundishwa shuleni tunajaribu kuaminishwa uongo unaoendana na Ukweli but in real sense or practically not applicable
 
Umepoteza pesa zako bure kusoma huko kwingine hujasomea unafanya kibabaishaji tu.Waganda na Wakenya wakisomea ualimu Kama wewe wanaungana mfano wewe umrsomea ualimu wa masomo ya sayansi unaungana na waliosomea masomo ya Arts mnatafuta majengo ya kupangisha mnafingua Shule wamiliki ninyi wenyewe na walimu ninyi wenyewe
Mwalimi kwenda kuwa DJ Ni mis allocation of resources.Elimu Kazi yake kunoa talent yako kwenye eneo husika .Sasa wewe na u DJ si unababaisha tu huko.

Mengi alianza Kama mhasibu akajenga capital huko ndio akaanza kuanzisha biashara zingine kwa kutumia wataalanu waliosomea maeneo husika.

Kwa mwalimu kuanza na entertainment business Ni kuanza maisha kwa mguu wa kushoto.Ungekuwa ulisomea ualimu wa muziki nikupongeza kuwa uko sahihi.Lakini Kama umesomea mengine.na unaanza biashara ya KU burn CD na kuingiza nyimbo kwenye simu za watu hapo hapajakaa vizuri
Kusoma ni endless process lakini kitu kigumu kwa watanzania wanafikiri kuwa kusoma na kupata cheti pekee ndo umepata maarifa, Kumbe tunatakiwa kupata maarifa kila siku kila wakati hata kama hupewi cheti
 
Huyo hakujiekewa toka mwanzo
Kusoma Ni uwekezaji.You invest in yourself.Kabla ya kuanza kusoma inabidi ujue unakljiwekeza kwenye Nini ili mwisho wa siku uwe Nani au ufanye Nini.Ukishapa jibu ndio unaanza kusoma ili ufikie lengo.Mfano nataka kuanzisha dispensary mbeleni .Naanza kusoma kwa nguvu masomo ya sayansi ili niende chuo kikuu kusomea udaktari.Nikimaliza nasaka mtaji wa kuanzisha dispensary .Napanga nyumba naanza kadispensary kangu kadogo

Mtu Kama Mimi siwezi jutia kuwa elimu nilisoma hainisaidii au nilipoteza muda kusoma.Wanaosoma Bora liende ndio wenye mitizamo Kama huyo.
Mkuu, wewe Elimu yako ndio imekupatia Ajira Lumumba ya Kulipwa Buku 7 / post JF sio ?
 
Huu ni ushauri kutoka kwa rafiki yangu.

Hello jamii forums
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26,nimeajiriwa na vile vile nina biashara yngu binafsi.

Lakini nina ndoto za kurudi shule ambayo inaweza kunichukua miaka mi saba hivi.

Lakini nimepata pingamizi kutoka kwa rafiki wangu wa karibu akidai kuwa haoni kama ninauitaji wa elimu.

Aliendelea kwa kusema kwamba ulimwengu wa sasa elimu iko mikino mwako ni wewe sasa kuitumia maana watu wengi wanasoma ili waajiriwe na haoni sababu ya mimi kufanya hivyo na kati nina mwanzo mzuri wa maisha naweza kutumia akili yangu kupanunua na kukuza biashara yangu.

Muda utakaopoteza shule ni muda wa wewe kuitwa millionea.

Aliniambia nifanyie tasmini miaka misaba ya shule na
Miaka misaba ya kufanya biashara.

Alimaliza kwa niambia kwamba yeye binafsi alijutia sana muda alioupoteza chuo kikuu na elimu ya chuo haikumsaidia kitu,kilichomsaidia kufikia mafanikio yake ni akili yake binafsi,juhudi zake binafisi,kujiamini ....laiti hasingeenda chuo,miaka minne pale chuo ilitosha yeye kufanya kitu cha kumpa maandeleo....

Mwana jamii forums
Na wewe unaweza kutoa mtzamo wako
Asante na karibu
Kama unataka kusoma nenda kasome bcoz unataka kuapply kitu unachokipenda na possibly ndo maana ukaajiriwa na kufanya biashara ili utafute ada ya kusomea.... Ila usije jutia baadae bcoz the world is changing everyday so be careful
 
Ukiwa na hela utawaajiri wenye akili kukuendeshea kampuni. Ila muhimu na wewe ukajua 1 2 3
 
Kama umeandika miaka misaba basi rudi shule tu mkuu
 
Umepoteza pesa zako bure kusoma huko kwingine hujasomea unafanya kibabaishaji tu.Waganda na Wakenya wakisomea ualimu Kama wewe wanaungana mfano wewe umrsomea ualimu wa masomo ya sayansi unaungana na waliosomea masomo ya Arts mnatafuta majengo ya kupangisha mnafingua Shule wamiliki ninyi wenyewe na walimu ninyi wenyewe
Mwalimi kwenda kuwa DJ Ni mis allocation of resources.Elimu Kazi yake kunoa talent yako kwenye eneo husika .Sasa wewe na u DJ si unababaisha tu huko.

Mengi alianza Kama mhasibu akajenga capital huko ndio akaanza kuanzisha biashara zingine kwa kutumia wataalanu waliosomea maeneo husika.

Kwa mwalimu kuanza na entertainment business Ni kuanza maisha kwa mguu wa kushoto.Ungekuwa ulisomea ualimu wa muziki nikupongeza kuwa uko sahihi.Lakini Kama umesomea mengine.na unaanza biashara ya KU burn CD na kuingiza nyimbo kwenye simu za watu hapo hapajakaa vizuri
Ndugu hilo la wasomi wenye fani mbali mbali kujiunga na kufanya kitu naweza kukubali kwa kiasi ila kuna wakati ni changamoto sana kama chemistry yenu haitakuwa vizuri. Ila hilo la wafanyabiashara wakubwa kama Mengi walianza na taaluma zao baadae wakafikia hapo walipo hizo ni stori kaka za kufunika uhalisia,kuna njia wamepitia huzijui ila all in all lolote lawezekana.
 
Yani usilologwe ukaacha ela ukaenda kusoma assume kila siku biashara inakuingizia faida ya 20000 or 15000 ulipo ajiriwa kwasiku 10000 jumla kwasiku una 25000 zidisha kwa mwenzi 750000 hii toa matumizi kwamwenzi 150000= 600000zidisha kwa 12=7200000 hii ela toa 1000000 inabaki 6200000 ×7 jibu utakalo pata fananisha nakaratasi ambalo utapewa baada yakusoma alafu urudi mtaani uanze kuishi kama Mimi ambae ninaandika ujumbe huu nikiwa nimeweka cheti ambacho nimekininua kwamda wangu na ada zangu alafu sahivi ninaishia kupika karanga nakutembeza mamaeeee
 
Back
Top Bottom