CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kuna wafanya kazi. Kwani Mengi alikuwa na elimu ya Masscommunication? Mbona alikuwa ana miliki vyombo vya habari?
Wakina Anton Dialo sijui elimu yake ila mbona anamilik vyombo vya habari?
Mengi alikuwa na ndoto hadi za kiwanda cha Madawa je kasomea Udakitari?
Aisee kinacho hitajoka ni kuinitiate Idea tu.
Ndo maana kukawa na Labour.
Entrepreneurs ni the Owner of factor of productions
1. Land
2.Capital
3.Labour
Mengi au Chrstopher Gachuma anamilika kiwanda cha Soda cha Nyanza bottle kule Mwanza. Huyo ni Darasa la saba, hana elimu ya Food technology but ana milik kiwanda cha Vyakula.
Ana Ma IT ana wahasibu na kila kitu. Je hapigi hatua?

Darasa la saba hata kama ni tajiri elimu ndogo, ungeweza kuongeza na ku manage huo utajiri kwa kuongeza maarifa zaidi, sio lazima hata form 4, unaweza kuiongezea maarifa hata kwa kozi mbalimbali tu
Hata hivyo elimu sio kwa ajili ya kukupatia hela tu, just kuelewa mambo na udadisi ni mambo mazuri pia
Binadamu ambaye sio mdadisi ana matatizo
Mi najiffunzaga mambo mengi ambayo hayahusini na ninachokifanya na wala hayataniingizia hela, mfano naweza kujifunza historia ya China, sitakuwa balozi wa China, nikajifunza Bunduki inavyofanya kazi, mimi sitarajii kuajiriwa kwenye kiwanda cha bunduki, nikajifunza labda kuhusu maisha ya siafu wala sihusiki na wadudu, nikajifunza labda siasa za Uingereza haya wala hayahusianai na mimi wala sitarajii yataniingizia hela ni udadisi wa kujua mambo tu