Acha ujinga kujifanya unalinda BRAND(JINA)

Wewe umevurugwa,kila mtu anaamua kuishi atakavyo ndio shida ya Afrika kwani unaishi kwa sababu ya mtu fulani? ili iweje? kila mtu ashike lake..ngoja niendelee na PhD yangu (namantain Brand hahahaha)
 
Hpo mkuu umenigusa ila mi nilipopata kibarua nilimpeleka mwanangu shule moja international nikawa nalipa 2.5m kwa term , mshahara wote umeishia hapo sina kitu ila dogo anamaliza la saba mwaka huu. dogo ni kichwa balaa, sasa sijui ka na mimi nipo kwenye hilo group la mabishoo

Sent using Jamii Forums mobile app
KILA MTU afanye yake, mimi nilianza na gari kwa kukopa sijawah juuta..maishani ni mipango tu..anyway
 
Mkuu huu uzi ni wa maana sana ingawa najua matozi wengi watakukandia sana kwamba kila mtu anaishi maisha yake. Hao matozi kutwa kutupiga mizinga ya kipumbavu wakati anatembelea brevis kulihudumia hawezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu maneno yako yenye hekima yametimia.
wapingaji wamefika
ama kweli vita ya ujinga haitamuacha mtu salama
 
jamani pambaneni na hali zenu..kila mtu aishi atakavyo! tusikariri maisha mwenye kupenda brand sawa asiyependa sawa!
 
Shida mnaingia humu kwa bahati mbaya tutatengeneza sub Forun watakuwa wana acces wachache tu wale thinker

Sent using Jamii Forums mobile app
We babu sikiliza tuheshimiane sana, usitake mawazo yangu yafanane na wewe kwanza! napata picha ungekua founder wa jf ungekuaje! misimamo yako ya kipimbi peleka nyumbani kwako...hunijui sikujui nitacoment ninapojisikia unless zivunji sheria za humu ndani..usitake kunipanda kichwani..pambana na hali yako..huu upuuzi wa BRAND nadhani umeuona leo..fyi nimeuona siku nyingi kwahyo sijaona kilicho kipya kwenye hii copy n paste!
Na hiyo subforum sijui ndo upuuzi gani kaundeni huko kwa raha zenu na magreater sinker wenzio..sie wengine mtuache na akili zetu khaa.
 
Ubisho wakati una shida haujawahi kumuacha mtu salama

Send from Nokia batani
 
title imenifanya nije fastaa, kube content tofauti kabisa, Shit Shit.....aaaaaaaah, well said ujumbe umefika
 
We babu sikiliza tuheshimiane sana, usitake mawazo yangu yafanane na wewe kwanza! napata picha ungekua founder wa jf ungekuaje! misimamo yako ya kipimbi peleka nyumbani kwako...hunijui sikujui nitacoment ninapojisikia unless zivunji sheria za humu ndani..usitake kunipanda kichwani..pambana na hali yako..huu upuuzi wa BRAND nadhani umeuona leo..fyi nimeuona siku nyingi kwahyo sijaona kilicho kipya kwenye hii copy n paste!
Na hiyo subforum sijui ndo upuuzi gani kaundeni huko kwa raha zenu na magreater sinker wenzio..sie wengine mtuache na akili zetu khaa.
Huyo dogo ana stress za maisha mara uji mara mahindi sijui kuku wameugua kideri[emoji23] [emoji23]

Great thinker awe yeye??? Yaani anajikuta yeye na uyo mwenzake sijui the list wanaakili za maisha kumbe upupu mtupu
 
Mambo yanayo jadiliwa humu kubali yaawazidi uwezo. mmezoe post za Udaku kutwa nzima mnajadili Udaku.

Mimi niko Verfied watu kibao humu wananijua A to Z wewe nani anakujua?

Angali account yangu niko Verfied.

Tunaanzuha Forum ndogo ndani ya hii wajinga kama nyie hamtatakiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dogo ana stress za maisha mara uji mara mahindi sijui kuku wameugua kideri[emoji23] [emoji23]

Great thinker awe yeye??? Yaani anajikuta yeye na uyo mwenzake sijui the list wanaakili za maisha kumbe upupu mtupu
Ajabu sana, nimeliona ni lijinga tu ndo maana nikamtolea uvivu watu wanakariri maisha sijui,anataka misimamo yake yeye eti kila mtu amfuate.Hili ni jukwaa huru kila mtu ana uhuru wa kuchangia.Huo ugreater sinker wao wapeleke kwenye whatssap groups.
 
Mambo yanayo jadiliwa humu kubali yaawazidi uwezo. mmezoe post za Udaku kutwa nzima mnajadili Udaku.

Mimi niko Verfied watu kibao humu wananijua A to Z wewe nani anakujua?

Angali account yangu niko Verfied.

Tunaanzuha Forum ndogo ndani ya hii wajinga kama nyie hamtatakiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kuandika vizuri kwanza..sio kukurupuka tu..unajivunia kuwa verified?? Umefaidika na nn tangu wakujue unafuga kuku??u knw nutting abt business, branding ..yaani upo upo tu

Unaemtisha kuanzisha forum ako nani sasa..sisi tunachopinga hapa nikuletewa thread za upupu ..hatuzitaki!!!!!!
 
Ajabu sana, nimeliona ni lijinga tu ndo maana nikamtolea uvivu watu wanakariri maisha sijui,anataka misimamo yake yeye eti kila mtu amfuate.Hili ni jukwaa huru kila mtu ana uhuru wa kuchangia.Huo ugreater sinker wao wapeleke kwenye whatssap groups.
Huyu ni tatizo nafikir kuku zimeugua kideri na sasa alichoambiwa kuwa ukianza na kuku 5 baada ya miezi sita ni milionea amekuta ni uwongo

Tafsiri ya forum ni kwamba anything posted z debatable na hivo lazima kuwe na fikra tofauti, yeye na kuku na sisi na harakati zetu
 
Back
Top Bottom