casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
nyie mnapotezana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyie mnapotezana
We bishoo tu!Hpo mkuu umenigusa ila mi nilipopata kibarua nilimpeleka mwanangu shule moja international nikawa nalipa 2.5m kwa term , mshahara wote umeishia hapo sina kitu ila dogo anamaliza la saba mwaka huu. dogo ni kichwa balaa, sasa sijui ka na mimi nipo kwenye hilo group la mabishoo
Sent using Jamii Forums mobile app
KILA MTU afanye yake, mimi nilianza na gari kwa kukopa sijawah juuta..maishani ni mipango tu..anywayHpo mkuu umenigusa ila mi nilipopata kibarua nilimpeleka mwanangu shule moja international nikawa nalipa 2.5m kwa term , mshahara wote umeishia hapo sina kitu ila dogo anamaliza la saba mwaka huu. dogo ni kichwa balaa, sasa sijui ka na mimi nipo kwenye hilo group la mabishoo
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu maneno yako yenye hekima yametimia.Mkuu huu uzi ni wa maana sana ingawa najua matozi wengi watakukandia sana kwamba kila mtu anaishi maisha yake. Hao matozi kutwa kutupiga mizinga ya kipumbavu wakati anatembelea brevis kulihudumia hawezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uneombwa ku coment? kama unaona haikuhusu unapita kimya na kuwaacha wanao ona inawahusu.jamani pambaneni na hali zenu..kila mtu aishi atakavyo! tusikariri maisha mwenye kupenda brand sawa asiyependa sawa!
we babu unanipangia cha kucomment? naomba uachane na mie! pita hivi.....Kwani uneombwa ku coment? kama unaona haikuhusu unapita kimya na kuwaacha wanao ona inawahusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida mnaingia humu kwa bahati mbaya tutatengeneza sub Forun watakuwa wana acces wachache tu wale thinkerwe babu unanipangia cha kucomment? naomba uachane na mie! pita hivi.....
We babu sikiliza tuheshimiane sana, usitake mawazo yangu yafanane na wewe kwanza! napata picha ungekua founder wa jf ungekuaje! misimamo yako ya kipimbi peleka nyumbani kwako...hunijui sikujui nitacoment ninapojisikia unless zivunji sheria za humu ndani..usitake kunipanda kichwani..pambana na hali yako..huu upuuzi wa BRAND nadhani umeuona leo..fyi nimeuona siku nyingi kwahyo sijaona kilicho kipya kwenye hii copy n paste!Shida mnaingia humu kwa bahati mbaya tutatengeneza sub Forun watakuwa wana acces wachache tu wale thinker
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dogo ana stress za maisha mara uji mara mahindi sijui kuku wameugua kideri[emoji23] [emoji23]We babu sikiliza tuheshimiane sana, usitake mawazo yangu yafanane na wewe kwanza! napata picha ungekua founder wa jf ungekuaje! misimamo yako ya kipimbi peleka nyumbani kwako...hunijui sikujui nitacoment ninapojisikia unless zivunji sheria za humu ndani..usitake kunipanda kichwani..pambana na hali yako..huu upuuzi wa BRAND nadhani umeuona leo..fyi nimeuona siku nyingi kwahyo sijaona kilicho kipya kwenye hii copy n paste!
Na hiyo subforum sijui ndo upuuzi gani kaundeni huko kwa raha zenu na magreater sinker wenzio..sie wengine mtuache na akili zetu khaa.
Mzee uguza hizo kuku nahisi stress za mahindi na uji zimeleta kideriShida mnaingia humu kwa bahati mbaya tutatengeneza sub Forun watakuwa wana acces wachache tu wale thinker
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yanayo jadiliwa humu kubali yaawazidi uwezo. mmezoe post za Udaku kutwa nzima mnajadili Udaku.Huyo dogo ana stress za maisha mara uji mara mahindi sijui kuku wameugua kideri[emoji23] [emoji23]
Great thinker awe yeye??? Yaani anajikuta yeye na uyo mwenzake sijui the list wanaakili za maisha kumbe upupu mtupu
Ajabu sana, nimeliona ni lijinga tu ndo maana nikamtolea uvivu watu wanakariri maisha sijui,anataka misimamo yake yeye eti kila mtu amfuate.Hili ni jukwaa huru kila mtu ana uhuru wa kuchangia.Huo ugreater sinker wao wapeleke kwenye whatssap groups.Huyo dogo ana stress za maisha mara uji mara mahindi sijui kuku wameugua kideri[emoji23] [emoji23]
Great thinker awe yeye??? Yaani anajikuta yeye na uyo mwenzake sijui the list wanaakili za maisha kumbe upupu mtupu
Jifunze kuandika vizuri kwanza..sio kukurupuka tu..unajivunia kuwa verified?? Umefaidika na nn tangu wakujue unafuga kuku??u knw nutting abt business, branding ..yaani upo upo tuMambo yanayo jadiliwa humu kubali yaawazidi uwezo. mmezoe post za Udaku kutwa nzima mnajadili Udaku.
Mimi niko Verfied watu kibao humu wananijua A to Z wewe nani anakujua?
Angali account yangu niko Verfied.
Tunaanzuha Forum ndogo ndani ya hii wajinga kama nyie hamtatakiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni tatizo nafikir kuku zimeugua kideri na sasa alichoambiwa kuwa ukianza na kuku 5 baada ya miezi sita ni milionea amekuta ni uwongoAjabu sana, nimeliona ni lijinga tu ndo maana nikamtolea uvivu watu wanakariri maisha sijui,anataka misimamo yake yeye eti kila mtu amfuate.Hili ni jukwaa huru kila mtu ana uhuru wa kuchangia.Huo ugreater sinker wao wapeleke kwenye whatssap groups.