Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kila unapotaka kusoma akili ikupeleke kuajiriwa ndugu soma vizuri ueleweMnavyoongea kama ajira mnatoa nyie vile[emoji23][emoji23][emoji23]...
Kama malengo yakeni Md kwa 1 ya 8 aombe second round Cuhas au kcmc aachane na hivyo vingine1.Alkua na one point 8
2.first selection aliwek md ila system ulikua unaitaj atleast course mbili so akajaz na architecture
Akasome Medical lab, hatajuta.Habari zenu ndugu yangu amechaguliw kusom bachelor of medical lab muhimbil na bachelor of architecture udsm kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
Ubongo sio wa hovyo. Inategemea mtu kakulia ukanda upi maana mwingine anaona anaongea sahihi ila kwako unaona kakosea. Sio vizuri kuuita huo ni upumbavu.Pale ukweli unapochoma sawa sawa,kauli za kukata tamaa na laana ndio kama hizi
Hakuna kitu kinaitwa "ushauli",still unarudia rudia upumbavu
ndio maana ubongo wako ni wa hovyo unashindwa ku make your own decisions mpaka uletee wenye ubongo kuomba msaada wa kufikiria na kufanya decisions
Yaani huna ubongo kiasi cha kukutosha kuendesha maisha yako na kufanya maamuzi muhimu kwa ajili ya maisha yako mpaka uje kuomba "ushauli" humu?
Inaonesha ubongo wako ni kweli ni wa hovyo,haukutoshi wewe mwenyewe mpaka tena uje kuomba bongo za wengine zijazie
Kwa aina yako ya ubongo hutakaa uweze kujua tofauti ya "r" na "l"....never!
Sawa ndio maana kiswahili wapo wanaopata F japo ndio lugha mama. Mimi kiswahili nilipata Karai zuri tu. Mambo ya sarufi na blahblah nyingine sio kila mtu anaweza endana nazo. Watu wengi wanaoshindwa r na l hata kuongea ni hivyo.Hapana dada
Unakosea kabisa
Ndio maana tuna standardized Kiswahili
Sio kila mtu anakuja na Kiswahili chake kwendana na anakotoka,thats not an excuse
Pili,unakosea pale unaposema "anakotoka"..Tunakusamehe unakotoka iwapo ni kuongea pekee yake kwa kinywa ila sio "kuandika"
Kuandika kwa maandishi haisameheki kabisa
Ni kama likiswahili libovu la Mgufuli halafu aandike the same way,hasameheki!
Kiswahili basi insha atapata 0 kila siku
Hakuna mwalimu wa Kiswahili anasamehe makosa ya kisarufi au kiuandishi,hakuna!
Sasa mbona wewe ambaye sio 'poor swahili speaker' unachanganya kiswahili na kingereza. Hayo maneno ya kingereza hayana kiswahili?Kwahiyo you are proud of being poor Swahili speaker?
Tangu lini tumeanza ku-sanitize na incentivize mediocrity?
Yaani mtu Kiswahili ni mediocre then unajisifia?
Hatusifii highest level of performance,professionalism na mystery,tunasifia jitu kua pumbavu na unable?
Kisheria tunasamehe katika kuongea pekee yake sio kuandika,else,its unacceptable!
Yaani tupo hapa watu wazima tunaotaka siku moja Kiswahili kiwe lingua franca ya hii dunia halafu tunasifia broken Swahili speakers,like really?
Tanzania tutaweza nini?Hadi Kiswahili duniani Kenya ndio inajulikana,why?Ni kwasababu ya watu kama nyie msiotaka kujirekebisha na kuona sio fahari kua mbumbumbu tena wa lugha mnaojidai ni mama.
Jua matumizi sahihi ya "r" na "l" acha upumbavu wa kujitetea ujinga
Kwa maelezo haya ni bora akimbie kabisa idara ya afya coz kisaikolojia atakuja kupata msongo wa mawazo ambao unawakuta vijana wengi waliotaman kusoma MD na kuangukia kivuli cha MD... I mean proffesional nyengine kama nursing,pharmacy au bmls... Hapa nataka niweke msisitizo kidogo... mtu ambaye aliomba MD chaguo la kwanza afu akapata kozi kama nursing ni tofauti kabisa na mtu ambaye aliomba nursing first choice... Athari zake ni kubwa coz... vyuo vingi vinawachanganya first year wa MD,Pharmacy,bmls na Nursing darasa moja katika usomaji... coz kama anatomy,physiology,behaviour science n.k wote wanasoma... hii itampelekea kujihisi unyonge na kumfanya ashindwe kufurahia masomo yake!... Kwangu mimi aende tu UDSM... akimbie kabisa kivuli cha MD... NB:Miaka ya hivi karibuni vijana wengi wanapata msongo wa mawazo kuchagua kati ya PCB au PCM... na kesi kama hii ya MD imekuwa tatizo jipya la sababu za sononi kwa vijana wa vyuo vyetu!yeye anaulizia kwa uzuri ipi ni nzur sabab yy alikua anatak MD lakin amepat BMLS na architecture so ajui akasome ipi
Hiyo ilikuwa kipind cha jakaya [emoji23][emoji23][emoji23]Akasome Medical lab, hatajuta.
Ni nzuri. Kwanza akimaliza Miaka mitatu, anaenda Intern mwaka mmoja (atalipwa 80% ya Mshahara wa muajiriwa wa hiyo level serikalini kwa kila mwezi mwaka mzima)
Hapo atakuwa amejipanga, na mtaji,Connections...Ajira pia zipo.
In short hawezi lala njaa.
Atafurahi.
Ni bora aende BMLS kuliko ArchtectureKwa maelezo haya ni bora akimbie kabisa idara ya afya coz kisaikolojia atakuja kupata msongo wa mawazo ambao unawakuta vijana wengi waliotaman kusoma MD na kuangukia kivuli cha MD... I mean proffesional nyengine kama nursing,pharmacy au bmls... Hapa nataka niweke msisitizo kidogo... mtu ambaye aliomba MD chaguo la kwanza afu akapata kozi kama nursing ni tofauti kabisa na mtu ambaye aliomba nursing first choice... Athari zake ni kubwa coz... vyuo vingi vinawachanganya first year wa MD,Pharmacy,bmls na Nursing darasa moja katika usomaji... coz kama anatomy,physiology,behaviour science n.k wote wanasoma... hii itampelekea kujihisi unyonge na kumfanya ashindwe kufurahia masomo yake!... Kwangu mimi aende tu UDSM... akimbie kabisa kivuli cha MD... NB:Miaka ya hivi karibuni vijana wengi wanapata msongo wa mawazo kuchagua kati ya PCB au PCM... na kesi kama hii ya MD imekuwa tatizo jipya la sababu za sononi kwa vijana wa vyuo vyetu!
Kweli mkuu sa HV tumefikishwa kubaya sanaHiyo ilikuwa kipind cha jakaya [emoji23][emoji23][emoji23]
"tunawezaga"Tanzanians bana
Eti "ushauli"
Halafu bwege kama hili likimuona Mkenya au taifa lingine akiongea Kiswahili eti "hujui" Kiswahili and blah blah
Kumbe jinga halijui tofauti ya "r" na "l"
Tujivunie Kiswahili halafu ndio tuongea huu uozo?
Mtu akiongea Kingereza bwege kama hili linatanua midomo eti sisi sio Waingereza tuongee Kiswahili tu,na Kiswahili chenyewe halijui.
Sijui nini tunawezaga Watanzania,kila kitu hadi Kiswahili tunafeli
Shauri kama una cha kushauri mkuu, wacha ujuaji.Pale ukweli unapochoma sawa sawa,kauli za kukata tamaa na laana ndio kama hizi
Hakuna kitu kinaitwa "ushauli",still unarudia rudia upumbavu
ndio maana ubongo wako ni wa hovyo unashindwa ku make your own decisions mpaka uletee wenye ubongo kuomba msaada wa kufikiria na kufanya decisions
Yaani huna ubongo kiasi cha kukutosha kuendesha maisha yako na kufanya maamuzi muhimu kwa ajili ya maisha yako mpaka uje kuomba "ushauli" humu?
Inaonesha ubongo wako ni kweli ni wa hovyo,haukutoshi wewe mwenyewe mpaka tena uje kuomba bongo za wengine zijazie
Kwa aina yako ya ubongo hutakaa uweze kujua tofauti ya "r" na "l"....never!
Kwanini unamsingizia ndugu yako?Habari zenu ndugu yangu amechaguliwa kusom bachelor of Medical Lab Muhimbil na Bachelor of Architecture UDSM kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
Take home ya MD haifiki 1M una uhakika ?Samahani mkuu,hivi pesa nyingi kwa hii take home ya MD ambayo haifiki hata mil moja? Au kuna maslahi mengine tofauti.?
Na mimi kama yake namshauri akasome architecture.mimi kama kaka yako nakushauri nenda kasome bsc in medical laboratory..maana tunajua ajira ni ngumu ndio ila kidogo vijihospitali ni kila siku vinafunguliwa mitaani , serikalini, sijaona watu wa lab wakikaa sana mitaani dogo, ila archtecture mdogo wangu ndio wapo wanaopata ila kuna msoto flani maana maakmpuni ya ajira kama hizo yanafunguliwa na ni machache kwa hiyo mtu mmoja anaweza kuajiriwa kwenye kampuni hat amoaka astaafu ,
pili lab ni miaka mitatu kama sikosei ikiingia hapo kuna uwezekano mkubwa wakumaliza fasta na unaweza kwenda kusoma masters ya kueleweka sana ndai ya miaka sita unakuwa na degree mbili watu watajipanga kukuajili upande wapili artchtecture ni maiak m5 sasa umalize uje ukaosme masters sijui na nini itake laot of years
kasome lab mdogo wangu kwa tanzania hapa unaishi kwa kuangalia opportunity kwa upande wa elimu we far away from dreams
Amechaguliwa MD au kozi ya maabara??1.Alkua na one point 8
2.first selection aliwek md ila system ulikua unaitaj atleast course mbili so akajaz na architecture