Achague kozi ipi kati ya Bachelor of Medical lab na Architecture

Achague kozi ipi kati ya Bachelor of Medical lab na Architecture

Habari zenu ndugu yangu amechaguliwa kusom bachelor of Medical Lab Muhimbil na Bachelor of Architecture UDSM kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
Medical lab [emoji817] [emoji817] sio swala la kujiuliza..
 
Tanzanians bana

Eti "ushauli"

Halafu bwege kama hili likimuona Mkenya au taifa lingine akiongea Kiswahili eti "hujui" Kiswahili and blah blah

Kumbe jinga halijui tofauti ya "r" na "l"

Tujivunie Kiswahili halafu ndio tuongea huu uozo?

Mtu akiongea Kingereza bwege kama hili linatanua midomo eti sisi sio Waingereza tuongee Kiswahili tu,na Kiswahili chenyewe halijui.

Sijui nini tunawezaga Watanzania,kila kitu hadi Kiswahili tunafeli
Duuh hili nalo 'bwege kweli' et sijui nini "tunawezaga" af anajiona anajuuuua kiswahili, liambie lije lituambie hii "tunawezaga" ni msamiati wa wap!!!!!
 
Habari zenu ndugu yangu amechaguliwa kusom bachelor of Medical Lab Muhimbil na Bachelor of Architecture UDSM kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
Mwache mwenyewe aamue! Naamini kozi zote alizichagua wakati wa Application!
 
Back
Top Bottom