Achague kozi ipi kati ya Bachelor of Medical lab na Architecture

1.alikuwa na division ngapi
2.Kipindi alikua ana apply architecture alikua anafikilia nini?
1.Alkua na one point 8

2.first selection aliwek md ila system ulikua unaitaj atleast course mbili so akajaz na architecture
 
1.Alkua na one point 8

2.first selection aliwek md ila system ulikua unaitaj atleast course mbili so akajaz na architecture
Kama malengo yakeni Md kwa 1 ya 8 aombe second round Cuhas au kcmc aachane na hivyo vingine
 
Habari zenu ndugu yangu amechaguliw kusom bachelor of medical lab muhimbil na bachelor of architecture udsm kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
Akasome Medical lab, hatajuta.

Ni nzuri. Kwanza akimaliza Miaka mitatu, anaenda Intern mwaka mmoja (atalipwa 80% ya Mshahara wa muajiriwa wa hiyo level serikalini kwa kila mwezi mwaka mzima)

Hapo atakuwa amejipanga, na mtaji,Connections...Ajira pia zipo.
In short hawezi lala njaa.

Atafurahi.
 
Ubongo sio wa hovyo. Inategemea mtu kakulia ukanda upi maana mwingine anaona anaongea sahihi ila kwako unaona kakosea. Sio vizuri kuuita huo ni upumbavu.
 
Sawa ndio maana kiswahili wapo wanaopata F japo ndio lugha mama. Mimi kiswahili nilipata Karai zuri tu. Mambo ya sarufi na blahblah nyingine sio kila mtu anaweza endana nazo. Watu wengi wanaoshindwa r na l hata kuongea ni hivyo.
 
Shida nini? Mbona system ya online login ya muhas inasema incorrect password au Mimi tu
 
Sasa mbona wewe ambaye sio 'poor swahili speaker' unachanganya kiswahili na kingereza. Hayo maneno ya kingereza hayana kiswahili?

Kwanini usiandike kiswahili moja kwa moja bila kuchanganya na kingereza.
 
yeye anaulizia kwa uzuri ipi ni nzur sabab yy alikua anatak MD lakin amepat BMLS na architecture so ajui akasome ipi
Kwa maelezo haya ni bora akimbie kabisa idara ya afya coz kisaikolojia atakuja kupata msongo wa mawazo ambao unawakuta vijana wengi waliotaman kusoma MD na kuangukia kivuli cha MD... I mean proffesional nyengine kama nursing,pharmacy au bmls... Hapa nataka niweke msisitizo kidogo... mtu ambaye aliomba MD chaguo la kwanza afu akapata kozi kama nursing ni tofauti kabisa na mtu ambaye aliomba nursing first choice... Athari zake ni kubwa coz... vyuo vingi vinawachanganya first year wa MD,Pharmacy,bmls na Nursing darasa moja katika usomaji... coz kama anatomy,physiology,behaviour science n.k wote wanasoma... hii itampelekea kujihisi unyonge na kumfanya ashindwe kufurahia masomo yake!... Kwangu mimi aende tu UDSM... akimbie kabisa kivuli cha MD... NB:Miaka ya hivi karibuni vijana wengi wanapata msongo wa mawazo kuchagua kati ya PCB au PCM... na kesi kama hii ya MD imekuwa tatizo jipya la sababu za sononi kwa vijana wa vyuo vyetu!
 
Hiyo ilikuwa kipind cha jakaya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni bora aende BMLS kuliko Archtecture
 
"tunawezaga"

Hapo nawe umekosea.

Ila tunajua kuwa hakuna aliye kamilika, na tukubali kukosoana pale mmoja miongoni mwetu anapokosea.
 
Shauri kama una cha kushauri mkuu, wacha ujuaji.
 
Habari zenu ndugu yangu amechaguliwa kusom bachelor of Medical Lab Muhimbil na Bachelor of Architecture UDSM kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
Kwanini unamsingizia ndugu yako?

Mwambie akasome architecture maana iko vizuri kwenye ajira na kujiajiri.

NB: Huu ujinga wa kusingizia ndugu sijui utaisha lini..
 
Na mimi kama yake namshauri akasome architecture.

Jiulize hili swali..

Tz kuna hospitali ngapi zinazo hitaji hao wataalam wa lab alafu jiulize Tz kuna miradi mingapi ya ujenzi (mikubwa na midogo)?

Architect hawezi kosa pesa hata asipoajiriwa mahali...

Ila huyo lab officer mpaka ajiajiri kuna kazi na ni kama haiwezekani kama ni mtoto wa mkulima!!

Mleta mada kasome architecture..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…