Achague kozi ipi kati ya Bachelor of Medical lab na Architecture

Habari zenu ndugu yangu amechaguliwa kusom bachelor of Medical Lab Muhimbil na Bachelor of Architecture UDSM kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
Medical lab [emoji817] [emoji817] sio swala la kujiuliza..
 
Duuh hili nalo 'bwege kweli' et sijui nini "tunawezaga" af anajiona anajuuuua kiswahili, liambie lije lituambie hii "tunawezaga" ni msamiati wa wap!!!!!
 
Habari zenu ndugu yangu amechaguliwa kusom bachelor of Medical Lab Muhimbil na Bachelor of Architecture UDSM kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
Mwache mwenyewe aamue! Naamini kozi zote alizichagua wakati wa Application!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…