Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Haya makampuni yanataka yawauwe vijana. Wamewapiga kwenye Aviator sasa naona ujinga mpya wa Plinko unaanza kushika kasi.
Ukiona idea simple tu, achia kampira (kekundu) kapite kwenye izo maze then kaje kagonge izo ods chini, unapata pesa kulingana na stake uliyoweka na odds kimpira kimegonga.
Aisee, utalia.