Achana na Aviator, kuna upuuzi mwingine unaitwa Plinko! Usijaribu aisee, utalia!

Achana na Aviator, kuna upuuzi mwingine unaitwa Plinko! Usijaribu aisee, utalia!

Skia niwafundisheni kitu kama mnataka hela kwa hizi slot

Ingia parimatch na namba Mpya cheza mahjong kwa mara ya kwanza lazima ule hela ukishakula toa hela..delete hio account tafuta line nyingine hata kwa watu weka hela cheza tena kila week unabadilisha line
 
Hizi slots zina tuma AI ila kwa mara ya kwanza lazima watakupa hela ili uwe mteja wao..wewe wabadilishie tu namba mpya
 
Tangu niweke bondi nyumba ya baba mkwe mechi ya watani nikaliwa, akanikosa kosa na risas, kufika hosbito namueleza dokta akanijibu hapa nitahakikisha sindano ya sumu haikukosi nimeacha kabisa huo upuuzi, maana risas ilinipunyua na sindano ya sumu nikadungwa kwa matraco, ni kama bahati tu mizimu ya kwetu ni mikali ilipambana na israel mtoa roho hadi ikamshinda.
Puuuzi sana ww yaan ule mbunye ya mwanae na nyumba ukaweka bondi😀😀😀😀ilitakiwa wakupige lile sindano la Ng,ombe
 
Skia niwafundisheni kitu kama mnataka hela kwa hizi slot

Ingia parimatch na namba Mpya cheza mahjong kwa mara ya kwanza lazima ule hela ukishakula toa hela..delete hio account tafuta line nyingine hata kwa watu weka hela cheza tena kila week unabadilisha line
Mgeni wanampa hela?
 
Ooh happ sawa. Ni kama karibisha mgeni.
Sorry sio mahjong ni gates of Olympus niliwala mpaka million 5 ila Indonesia rupiah
 

Attachments

  • Screenshot_20251111-133821_Chrome.jpg
    Screenshot_20251111-133821_Chrome.jpg
    146.6 KB · Views: 29
Back
Top Bottom