Aviator siku zote wachezaji ni 120 amjiulizi wanapungua kidogo na kuongezeka kidogo hakuna siku wamefika 800 nkHaya makampuni yanataka yawauwe vijana. Wamewapiga kwenye Aviator sasa naona ujinga mpya wa Plinko unaanza kushika kasi.
View attachment 3500015
Ukiona idea simple tu, achia kampira (kekundu) kapite kwenye izo maze then kaje kagonge izo ods chini, unapata pesa kulingana na stake uliyoweka na odds kimpira kimegonga.
Aisee, utalia.
Sijawahi kua trapped na hizi kamari sijui aviator, betting au network marketing.Kamari ni mbaya wakuu, kama kijana ukiweza kuepuka hili janga ni hatua kubwa sana.
Sijawahi kua trapped na hizi kamari sijui aviator, betting au network marketing.
Hongera mkuu, mimi zilishaninyoosha sana sina hamu nazo kabisa.Sijawahi kua trapped na hizi kamari sijui aviator, betting au network marketing.
Naogopa sana hayo mamboKama hujawahi mshukulu mungu kamari sio kitu kizuri
Ila kama hazijaathiri sana mfuko & akili siyo mbaya.Hongera mkuu, mimi zilishaninyoosha sana sina hamu nazo kabisa.
utakuwa trapped mahali tu, aidha pombe, wanawake, makanisa ya kimwamposa nk.Sijawahi kua trapped na hizi kamari sijui aviator, betting au network marketing.
Pombe kiasiutakuwa trapped mahali tu, aidha pombe, wanawake, makanisa ya kimwamposa nk.