Mkuna mgongo
Member
- Dec 9, 2019
- 87
- 137
- Thread starter
-
- #81
Kiukweli yule mtoto Advance alisoma girls na alikuwa mtamu haswaa kwahiyo nilitamani kuendelea kuitafunaKama uliperform hakuna shida, sema ulikosea sana kuwekeza malengo wakati taa nyekundu ilishawaka kitambo
Pole mwenzangu 🤣🤣🤣Bro story yako na yangu zimepishana kidogo sana ila wanachuo mpaka wamalze chuo nd akili zinakuwa sawa asee
Akitoka chuoni anakuwa amechakazwa vibaya sana kwahiyo kwangu sidhani kama ntakuwa na hamu naeMtoto wa kike atoke kwenye poor family
Aingie chuo wadanganyane eti soon after school watapata kazi ila usisasahau viboom hapo anavipokea .
Dear rafiki hawezi kuwa yule mliyekuwa mnashinda naye mtaani hata buku hamna
Sio watoto wa kike tu hubadilika hata baadhi ya vitoto vya kiume vikifika chuo huhisi vimemamliza maisha na sasa viko maisha mengine
Dawa ni kumuacha amalize atarudi whether kwa kupiga magoti au kwa shetani aliyesahau mbuyu wake
Yani simu ilistack siku nzima? 😅😅😅Yaan siku iliyofuata asubuhi nikiwa njian narudi home ndo akanitafuta lakini sikupokea simu.
Nilipofka kabisa ndo nikampgia nikamweleza jinsi nilivyojisikia,. Akadai ety simu ilistaki day!
Si umrudie, urudie mateso yako.Sikurogwa mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo akili yangu ilishtuka mapema
Me kwangu ilikuwa tofauti na usemavyo, sikufanya surprise bali tulikubalina lakini ikatokea hivyo na kama angesema nisiende hakika nisingethubut kwendaMkitoka mikoani msiwafate hostel kuwafumania mtaishia kuitiwa mwizi unapoteza maisha ishatokea hii binti wa chuo kumuitia ex wake wake alipojichanganya kumsuprise akakuta yupo chini ya kifua cha mwanachuo mwenzake, jamaa akapigwa akafa. Mtu akishaenda chuo achana nae msubirie likizo akija. KILA eneo lina mmiliki wake.
Wenzako huwa wanatia mimba.. Wewe ulichelewa wapi?Hamjambo wanajamii..!
Niende moja kwa moja kwenye mkasa huu,
Niliingia kwenye uhusiano na binti aliyemaliza elimu ya kidato cha sita. Tulipendana sana na nilijitahidi kughalamia kila kilicho ndani ya uwezo wangu. Pia yeye alijitoa haswaa kila nilipohitaji msaada wake wa hasa kwenye swala mbususu alinitunuku kila nikihitaji.
Alipoanza mchakato wa chuo kwakweli nilishiriki kumsaidia kufanya maombi na ushauri pia bila kusahau vihela vya bando na stationery. Kwa vile nilipitia chuo na nna kadigrii basi akawa ananiamini na kufuata kile nnachomshauri na nilikuwa najua nini anatakiwa kufanya.
Majibu yakatoka amechaguliwa chuo kilichopo DSM na sisi hapo tuko mikoa ya kaskazini, alifurahia sana japo me sikuwa na furaha nikihofia kumpoteza. Aliniahidi kuwa hatobadilika hata akifika huko. Maandalizi yakafanyika, nakumbuka siku moja kabla ya kuondoka kwenda Dar tulilala pamoja usiku mzima unaju ile kuagana. Alionesha kusikitika kuwa atanimiss sana dah!
Alipofika Dar es salaam kwa siku za mwanzo aliendelea kuntafuta na tukitumia muda mwingi sana kuongea au kuchati, lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda akawa hapatikani sana akidai anabanwa na kazi za chuo. Nikamwambia basi tuweke ratiba ya kuwasiliana yaani kama asubuhi kabla hujaingia class au mchana ukiwa mapumziko na jioni/usiku anitafute akitulia. Akafata hizo ratiba siku mbili then akapotea na kazi ikawa ile ile, mara amepitiwa na usingizi, mara kazi zilikuwa nyingi ameshndwa kujibu meseji wala kupokea.
Matukio hayo yote yalitokea ndani ya mwezi mmoja tuu, nikaona isiwe shida basi Mimi niende huko labda nikiwa nae kwa siku hata mbili anaweza kurudi kwenye imaya yangu. Nikamweleza mpango wangu wa kwenda kuonana nae, akasema sawa atafurahi kukutana tena na mi mpenzi wake. Nikaulizia ratiba zake kama zitaruhusu kutumia muda wa kutosha na Mimi akajibu "hamn shida na siwez kosa muda".
Me nikajipanga mzee kwa kiasi cha pesa nnachojua kitantosha kwa siku nitakzokuwa huko. Kwa kuwa nafanya kazi na sikutaka kuomba ruhusa kazini ikanibidi niondoke ijumaa baada ya saa za kazi ili jmosi na jpili niwe na mtoto. Basi jioni saa kumi nikatafuta usafiri kwa bahati nikapata Noha lakini ilitoka saa 12 jioni. Tulisafiri usiku mzima lakini yeye nikamwambia nitatoka kesho yake ambayo ni jmosi, sikutaka ajue kuwa nasafiri usiku na hakika hiyo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kusafiri mbali kufuata mapenzi. Kwa hilo nijiona shujaa kwa vile niliona naonesha mapenzi ya dhati na kupapalia penzi pia.
Nilifka Dar saa 11 alfajiri nikiwa nimechoka hoi na usingizi kama wote, hivyo nakawaza sehemu ya kupumzka kwanza. Nikafanikiwa kupata sehemu ya kupumzka (lodge), nilaoga alafu nikalala lakini wakati huo nishamcheki yule binti kuwa nimepata gari ndogo (private) hivyo nitawahi kufika Dar. Akajibu " sawa me nitakuwa nakusubiri wewe ukifika nijulishe".
Ilipofika mida ya saa sita nikamwambia nimekaribia kufika na kufikia saa 8 nitakuwa mjini. Akasema "haina shida utanambia ulipofikia nije". Sasa wakati namwambia hivyo nikamchombeza kuwa " si umejiandaa kabisa kulala na mimi ?", akajibu "tutaangalia". Hapo nikaanza kupata mashaka kuwa hasingeweza kulala.
Ilipofika ili mida nikamwambia nilipo, akasema anakuja maana alishatoka kwenye kipindi. Basi kweli alipokaribia nikamfuata na kuongozana nae hadi pale lodge. Basi ile kufika ndani nikashangaa kuona yuko busy na simu wakati alikuwa ananambia anashindwa kuongea na mimi sababu anabanwa na majukumu ya chuo. Nikajaribu kumwambia aachane na simu na aone uwepo wangu lakini bado kila dakika meseji zinaingia tuu, kama sio kawada basi za Watsapp.
Ikabidi niichukue simu ili niweke mezani lakini akawa anazuia kushika simu take. Nikaanza kumtomasa ili nile nilichokisafiria, akadai anasumbuliwa na maumivu ya kichwa. Nikaona sasa nishaingia mtumbwi wa vibwengo[emoji26][emoji26], roho inaniuma mtu niliyemsafiria umbali wote lakini haoneshi kujali. Ikabidi nianze risala ya kumuweka sawa huku nashika kagauni kake kafupi alichovaa. Mwishowe nikafanikiwa kuvua pichu na nikaweka mkuyenge lakini hajavua like gauni. Nikashughulikaa mpaka wazungu walipokuja ndo kumuacha kwanza.
Nikaanza kumuuliza kama angeweza kulala akadai hawezi kulala na visababu kibao. Basi nijionea wazi kuwa hayuko na mimi kabisaa [emoji1785][emoji1785][emoji1785]. Niliumia lakini mwisho nikamruhusu aondoke na kumsindikza hadi kituo cha daladala, nikampa nauli na kuagana nae kwa ahadi angenitafuta tena kesho yake ambayo ni jpili. Nikarudi zangu lodge nikiwa na mawazo hasa kilichotokea siamini na nitalalaje peke yangu usiku huo. Kulikuwa na manzi nachati nae FB siku nyingi nikamwambia siku nikija Dar ntakutafuta, kwahiyo nilipoona dalili ya kuwa huyu ninayemjia halali nikaanza kumpanga yule wa FB na hatimaye alikuja mida saa 4 usiku na ndiye nikalala nae hadi asubuhi. Nilifarijika kiasi maana usiku haukuwa mbaya.
Ilipofika asubuhi huyu wa FB nikaagana nae akasepa. Yule mwanachuo akanitafuta eti kunisalimia, nikamuuliza angekuja saa ngapi, akajibu "sina uhakika lakini nitakujulisha". Ilifika mida ya lunch nikala na kujaribu kumtafuta mwanachuo hapatikani hewani[emoji1787][emoji1787]. Basi kwa vile sikuwa nimelipia hiko chumba ikabidi nipange namna ya kusafiri kurudi home.
Niliondoka saa kumi kwenda Mbezi kutafuta gari za kaskazini, nikafanikiwa kupata gari nikaanza tena safari ya usiku kurudi home. Njia nzima nilikuwa nasikiliza wimbo wa " Beka Fleva- poa poa" hadi leo nikiusikia huo wimbo nakumbuka tukio hilo.
Wanachuo mungu awaongoze kwa matendo yao!
Kaka mapenzi umeanza ukubwani!!!NGOJA NIKUPE USHAURI KIDOGO!!ACHANA NA WATOTO ACHANA NA MASISTADU TAFUTA WATU WAZIMA AFU UONE!!!!USIRUDIE TENA KUFUNGA SAFARI KUMFUATA MWANAMKE!!FUNGA SAFARI KUFUATA DILI ZA HELA KAKAHamjambo wanajamii..!
Niende moja kwa moja kwenye mkasa huu,
Niliingia kwenye uhusiano na binti aliyemaliza elimu ya kidato cha sita. Tulipendana sana na nilijitahidi kughalamia kila kilicho ndani ya uwezo wangu. Pia yeye alijitoa haswaa kila nilipohitaji msaada wake wa hasa kwenye swala mbususu alinitunuku kila nikihitaji.
Alipoanza mchakato wa chuo kwakweli nilishiriki kumsaidia kufanya maombi na ushauri pia bila kusahau vihela vya bando na stationery. Kwa vile nilipitia chuo na nna kadigrii basi akawa ananiamini na kufuata kile nnachomshauri na nilikuwa najua nini anatakiwa kufanya.
Majibu yakatoka amechaguliwa chuo kilichopo DSM na sisi hapo tuko mikoa ya kaskazini, alifurahia sana japo me sikuwa na furaha nikihofia kumpoteza. Aliniahidi kuwa hatobadilika hata akifika huko. Maandalizi yakafanyika, nakumbuka siku moja kabla ya kuondoka kwenda Dar tulilala pamoja usiku mzima unaju ile kuagana. Alionesha kusikitika kuwa atanimiss sana dah!
Alipofika Dar es salaam kwa siku za mwanzo aliendelea kuntafuta na tukitumia muda mwingi sana kuongea au kuchati, lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda akawa hapatikani sana akidai anabanwa na kazi za chuo. Nikamwambia basi tuweke ratiba ya kuwasiliana yaani kama asubuhi kabla hujaingia class au mchana ukiwa mapumziko na jioni/usiku anitafute akitulia. Akafata hizo ratiba siku mbili then akapotea na kazi ikawa ile ile, mara amepitiwa na usingizi, mara kazi zilikuwa nyingi ameshndwa kujibu meseji wala kupokea.
Matukio hayo yote yalitokea ndani ya mwezi mmoja tuu, nikaona isiwe shida basi Mimi niende huko labda nikiwa nae kwa siku hata mbili anaweza kurudi kwenye imaya yangu. Nikamweleza mpango wangu wa kwenda kuonana nae, akasema sawa atafurahi kukutana tena na mi mpenzi wake. Nikaulizia ratiba zake kama zitaruhusu kutumia muda wa kutosha na Mimi akajibu "hamn shida na siwez kosa muda".
Me nikajipanga mzee kwa kiasi cha pesa nnachojua kitantosha kwa siku nitakzokuwa huko. Kwa kuwa nafanya kazi na sikutaka kuomba ruhusa kazini ikanibidi niondoke ijumaa baada ya saa za kazi ili jmosi na jpili niwe na mtoto. Basi jioni saa kumi nikatafuta usafiri kwa bahati nikapata Noha lakini ilitoka saa 12 jioni. Tulisafiri usiku mzima lakini yeye nikamwambia nitatoka kesho yake ambayo ni jmosi, sikutaka ajue kuwa nasafiri usiku na hakika hiyo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kusafiri mbali kufuata mapenzi. Kwa hilo nijiona shujaa kwa vile niliona naonesha mapenzi ya dhati na kupapalia penzi pia.
Nilifka Dar saa 11 alfajiri nikiwa nimechoka hoi na usingizi kama wote, hivyo nakawaza sehemu ya kupumzka kwanza. Nikafanikiwa kupata sehemu ya kupumzka (lodge), nilaoga alafu nikalala lakini wakati huo nishamcheki yule binti kuwa nimepata gari ndogo (private) hivyo nitawahi kufika Dar. Akajibu " sawa me nitakuwa nakusubiri wewe ukifika nijulishe".
Ilipofika mida ya saa sita nikamwambia nimekaribia kufika na kufikia saa 8 nitakuwa mjini. Akasema "haina shida utanambia ulipofikia nije". Sasa wakati namwambia hivyo nikamchombeza kuwa " si umejiandaa kabisa kulala na mimi ?", akajibu "tutaangalia". Hapo nikaanza kupata mashaka kuwa hasingeweza kulala.
Ilipofika ili mida nikamwambia nilipo, akasema anakuja maana alishatoka kwenye kipindi. Basi kweli alipokaribia nikamfuata na kuongozana nae hadi pale lodge. Basi ile kufika ndani nikashangaa kuona yuko busy na simu wakati alikuwa ananambia anashindwa kuongea na mimi sababu anabanwa na majukumu ya chuo. Nikajaribu kumwambia aachane na simu na aone uwepo wangu lakini bado kila dakika meseji zinaingia tuu, kama sio kawada basi za Watsapp.
Ikabidi niichukue simu ili niweke mezani lakini akawa anazuia kushika simu take. Nikaanza kumtomasa ili nile nilichokisafiria, akadai anasumbuliwa na maumivu ya kichwa. Nikaona sasa nishaingia mtumbwi wa vibwengo😥😥, roho inaniuma mtu niliyemsafiria umbali wote lakini haoneshi kujali. Ikabidi nianze risala ya kumuweka sawa huku nashika kagauni kake kafupi alichovaa. Mwishowe nikafanikiwa kuvua pichu na nikaweka mkuyenge lakini hajavua like gauni. Nikashughulikaa mpaka wazungu walipokuja ndo kumuacha kwanza.
Nikaanza kumuuliza kama angeweza kulala akadai hawezi kulala na visababu kibao. Basi nijionea wazi kuwa hayuko na mimi kabisaa 🤢🤢🤢. Niliumia lakini mwisho nikamruhusu aondoke na kumsindikza hadi kituo cha daladala, nikampa nauli na kuagana nae kwa ahadi angenitafuta tena kesho yake ambayo ni jpili. Nikarudi zangu lodge nikiwa na mawazo hasa kilichotokea siamini na nitalalaje peke yangu usiku huo. Kulikuwa na manzi nachati nae FB siku nyingi nikamwambia siku nikija Dar ntakutafuta, kwahiyo nilipoona dalili ya kuwa huyu ninayemjia halali nikaanza kumpanga yule wa FB na hatimaye alikuja mida saa 4 usiku na ndiye nikalala nae hadi asubuhi. Nilifarijika kiasi maana usiku haukuwa mbaya.
Ilipofika asubuhi huyu wa FB nikaagana nae akasepa. Yule mwanachuo akanitafuta eti kunisalimia, nikamuuliza angekuja saa ngapi, akajibu "sina uhakika lakini nitakujulisha". Ilifika mida ya lunch nikala na kujaribu kumtafuta mwanachuo hapatikani hewani🤣🤣. Basi kwa vile sikuwa nimelipia hiko chumba ikabidi nipange namna ya kusafiri kurudi home.
Niliondoka saa kumi kwenda Mbezi kutafuta gari za kaskazini, nikafanikiwa kupata gari nikaanza tena safari ya usiku kurudi home. Njia nzima nilikuwa nasikiliza wimbo wa " Beka Fleva- poa poa" hadi leo nikiusikia huo wimbo nakumbuka tukio hilo.
Wanachuo mungu awaongoze kwa matendo yao!
😂😂😂 kivipi mkuuLakini mbona kama wewe na yeye mnafanana tu? Yeye unamuhisi ila wewe ni player kweli ........
Umetisha mkuuHa ha ha....
Mi nnae Mchepuko Mwanachuo,
Kuna dogo najua anamla sema sijamaindi
Nmechukulia POA
kwasasabu kwangu yeye Ni wa ziada,
afu nmeoa tayar wkt huo huo namla dada ake, ambae anajua kila kitu A to Z
Afu dada ake mwnyw ndo MAMAJ ambae kila siku nawaambia nmekolea haswa[emoji4]
Maarifa mapya na mazuri pia lakini me nishaamua kuwa nae mbali mazimaKosa ulilo fanya ni kutaka weka ratiba ya mawasiliano yani na vituko vyote bado unaamini ni kweli kabanwa?kama mtu hakupendi ni hakupendi tu
Mimi unakut nina pepa natakiwa jisomea ila msg moja hadi tano za kujulia mtu hali huwezi shindwa andika sasa iweje yeye ajidai yuko busy kiasi hicho?
Nishakuwa na demu wote tulikuwa wanachuo vyuo tofauti hata ratiba ni tofauti pia alianza marue rue siku ya pepa ile week et hanitafuti hadi anaenda chuo na anakaa town anafika anafanya pepa anarudi home jioni ndo labda naweza pata msg moja ukiuliza anasema yuko busy
Nikachoka dawa ya moto nimoto nikatafuta wa kuniweka busy ..
Ukimsumbua sana na yeye anapata nafasi ya kucheat vizuri
Ila akiwa anacheat na uko zako busy yeye pia anakuwa anawaza au na wewe unafanya kama yeye anavofanya hata hamu yakuendelea anakosa mpe muda usimwambie umemuacha fanya mambo yako
Ahsante mkuuKaka mapenzi umeanza ukubwani!!!NGOJA NIKUPE USHAURI KIDOGO!!ACHANA NA WATOTO ACHANA NA MASISTADU TAFUTA WATU WAZIMA AFU UONE!!!!USIRUDIE TENA KUFUNGA SAFARI KUMFUATA MWANAMKE!!FUNGA SAFARI KUFUATA DILI ZA HELA KAKA
SawaaMzee mwanamke asafiri akufate sio ww humfate
Hata kama unampendaje mwanamke, unless ni mkeo yupo mkoa/wilaya tofauti na wewe na anamajukum ila wewe una mda iwe ni likizo or whatever [emoji28]
Nili sitish mwaka mmoja nikaja endelea mpnz wangu akamaliza kabla yangu akala na boom me bado nasota akawa chuo mkoa flani siku hio ikabdi nimwambie kwamba nilikuwa napita tu ila ukweli nilimfata toka nyumbani nikajidaikuna sehemu naenda tulionana dk chache tumekaa sehemu tunakula akanywa maji nadhani akalipa bills hata hatujaongea maana alikuja na mwenzie et akaaga anaenda saloon vile nampenda nilikua willing kumsubiri daaa akanambia nikitoka saloon ntakuwa busy kifupi nilipanda costa kwa ajili ya kwenda lipiwa chakula cha 2500tzsMaarifa mapya na mazuri pia lakini me nishaamua kuwa nae mbali mazima
Wajuba wakishapiga ndio basi tena, mimi nakumbuka nilikua na dem akiwa advance tulikua vzuri tu ila baada ya kufika chuo alibadilika jumla.Kiukweli yule mtoto Advance alisoma girls na alikuwa mtamu haswaa kwahiyo nilitamani kuendelea kuitafuna
Watoto wadogo wakiingiaga vvyuo ni drama achana nao kakaAhsante mkuu
Naunga mkono hoja, hio ni uongoo bana[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah kwa wanachuo ni kawaida hio tabia wako nayo. Lazma apate boya wa kumchachua na kumformat akili kiingia chuo tu. Unajua chuo kuna aina flani ya maisha ambayo yanawachanganya sana wadada hata awe mjanja kiasi gani.
Ukifika wakati unaagana na demu wako anaenda chuo kama hampo mkoa mmoja ni muda muafaka wa kuweka mashada juu ya kaburi la penzi lenu. Atakudanganya atajitunza kwa ajili yako hio ni uwongooo... Uwongoo hio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Cha kufanya tafta sub tu mapema.