Achana na Mwanachuo!

Achana na Mwanachuo!

Usijali atakutafuta akimaliza chuo maisha yakianza kumtandika
Yaani nikikumbuka maisha ya chuo, mmh sidhani kama nitakuwa na hisia na yeye. Alafu nilimuuliza kama ameanza kunywa pombe, akajibu "mara moja moja" nikaona wazi kuwa ashapotea.
Kwahiyo akimalza sidhani kama nitamuhitaji
 
Sina neno la kusema hicho kilichonikuta mm mwaka juzi.Ila lilinikomaza sn lile jambo.Now najiona katili kwenye mapenzi kumbe la hasha ndo natakiwa niwe hivo
Lipi hilo? Tushirikishe ili tupate somo 😄😄😄
 
Kwa hiyo Mkuu ulitaka wewe ukonzako huko Kaskazini mwenzio yupo Dar kwamba hapo kuna mapenzi.mlisha ambiwa fimbo ya mbali haiui nyoka.
Kiukweli nilihisi mapema kuwa haitakuwa rahisi lakini ukishaingia penzini huwa unajpa moyo
 
Hahahah kwa wanachuo ni kawaida hio tabia wako nayo. Lazma apate boya wa kumchachua na kumformat akili kiingia chuo tu. Unajua chuo kuna aina flani ya maisha ambayo yanawachanganya sana wadada hata awe mjanja kiasi gani.

Ukifika wakati unaagana na demu wako anaenda chuo kama hampo mkoa mmoja ni muda muafaka wa kuweka mashada juu ya kaburi la penzi lenu. Atakudanganya atajitunza kwa ajili yako hio ni uwongooo... Uwongoo hio 🤣🤣🤣! Cha kufanya tafta sub tu mapema.
Ni kweli mzee kwangu haitatokea tena lakini nna hofu na vijana wenzangu
 
Hamjambo wanajamii..!
Niende moja kwa moja kwenye mkasa huu,
Niliingia kwenye uhusiano na binti aliyemaliza elimu ya kidato cha sita. Tulipendana sana na nilijitahidi kughalamia kila kilicho ndani ya uwezo wangu. Pia yeye alijitoa haswaa kila nilipohitaji msaada wake wa hasa kwenye swala mbususu alinitunuku kila nikihitaji.

Alipoanza mchakato wa chuo kwakweli nilishiriki kumsaidia kufanya maombi na ushauri pia bila kusahau vihela vya bando na stationery. Kwa vile nilipitia chuo na nna kadigrii basi akawa ananiamini na kufuata kile nnachomshauri na nilikuwa najua nini anatakiwa kufanya.

Majibu yakatoka amechaguliwa chuo kilichopo DSM na sisi hapo tuko mikoa ya kaskazini, alifurahia sana japo me sikuwa na furaha nikihofia kumpoteza. Aliniahidi kuwa hatobadilika hata akifika huko. Maandalizi yakafanyika, nakumbuka siku moja kabla ya kuondoka kwenda Dar tulilala pamoja usiku mzima unaju ile kuagana. Alionesha kusikitika kuwa atanimiss sana dah!

Alipofika Dar es salaam kwa siku za mwanzo aliendelea kuntafuta na tukitumia muda mwingi sana kuongea au kuchati, lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda akawa hapatikani sana akidai anabanwa na kazi za chuo. Nikamwambia basi tuweke ratiba ya kuwasiliana yaani kama asubuhi kabla hujaingia class au mchana ukiwa mapumziko na jioni/usiku anitafute akitulia. Akafata hizo ratiba siku mbili then akapotea na kazi ikawa ile ile, mara amepitiwa na usingizi, mara kazi zilikuwa nyingi ameshndwa kujibu meseji wala kupokea.

Matukio hayo yote yalitokea ndani ya mwezi mmoja tuu, nikaona isiwe shida basi Mimi niende huko labda nikiwa nae kwa siku hata mbili anaweza kurudi kwenye imaya yangu. Nikamweleza mpango wangu wa kwenda kuonana nae, akasema sawa atafurahi kukutana tena na mi mpenzi wake. Nikaulizia ratiba zake kama zitaruhusu kutumia muda wa kutosha na Mimi akajibu "hamn shida na siwez kosa muda".

Me nikajipanga mzee kwa kiasi cha pesa nnachojua kitantosha kwa siku nitakzokuwa huko. Kwa kuwa nafanya kazi na sikutaka kuomba ruhusa kazini ikanibidi niondoke ijumaa baada ya saa za kazi ili jmosi na jpili niwe na mtoto. Basi jioni saa kumi nikatafuta usafiri kwa bahati nikapata Noha lakini ilitoka saa 12 jioni. Tulisafiri usiku mzima lakini yeye nikamwambia nitatoka kesho yake ambayo ni jmosi, sikutaka ajue kuwa nasafiri usiku na hakika hiyo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kusafiri mbali kufuata mapenzi. Kwa hilo nijiona shujaa kwa vile niliona naonesha mapenzi ya dhati na kupapalia penzi pia.

Nilifka Dar saa 11 alfajiri nikiwa nimechoka hoi na usingizi kama wote, hivyo nakawaza sehemu ya kupumzka kwanza. Nikafanikiwa kupata sehemu ya kupumzka (lodge), nilaoga alafu nikalala lakini wakati huo nishamcheki yule binti kuwa nimepata gari ndogo (private) hivyo nitawahi kufika Dar. Akajibu " sawa me nitakuwa nakusubiri wewe ukifika nijulishe".
Ilipofika mida ya saa sita nikamwambia nimekaribia kufika na kufikia saa 8 nitakuwa mjini. Akasema "haina shida utanambia ulipofikia nije". Sasa wakati namwambia hivyo nikamchombeza kuwa " si umejiandaa kabisa kulala na mimi ?", akajibu "tutaangalia". Hapo nikaanza kupata mashaka kuwa hasingeweza kulala.

Ilipofika ili mida nikamwambia nilipo, akasema anakuja maana alishatoka kwenye kipindi. Basi kweli alipokaribia nikamfuata na kuongozana nae hadi pale lodge. Basi ile kufika ndani nikashangaa kuona yuko busy na simu wakati alikuwa ananambia anashindwa kuongea na mimi sababu anabanwa na majukumu ya chuo. Nikajaribu kumwambia aachane na simu na aone uwepo wangu lakini bado kila dakika meseji zinaingia tuu, kama sio kawada basi za Watsapp.

Ikabidi niichukue simu ili niweke mezani lakini akawa anazuia kushika simu take. Nikaanza kumtomasa ili nile nilichokisafiria, akadai anasumbuliwa na maumivu ya kichwa. Nikaona sasa nishaingia mtumbwi wa vibwengo😥😥, roho inaniuma mtu niliyemsafiria umbali wote lakini haoneshi kujali. Ikabidi nianze risala ya kumuweka sawa huku nashika kagauni kake kafupi alichovaa. Mwishowe nikafanikiwa kuvua pichu na nikaweka mkuyenge lakini hajavua like gauni. Nikashughulikaa mpaka wazungu walipokuja ndo kumuacha kwanza.

Nikaanza kumuuliza kama angeweza kulala akadai hawezi kulala na visababu kibao. Basi nijionea wazi kuwa hayuko na mimi kabisaa 🤢🤢🤢. Niliumia lakini mwisho nikamruhusu aondoke na kumsindikza hadi kituo cha daladala, nikampa nauli na kuagana nae kwa ahadi angenitafuta tena kesho yake ambayo ni jpili. Nikarudi zangu lodge nikiwa na mawazo hasa kilichotokea siamini na nitalalaje peke yangu usiku huo. Kulikuwa na manzi nachati nae FB siku nyingi nikamwambia siku nikija Dar ntakutafuta, kwahiyo nilipoona dalili ya kuwa huyu ninayemjia halali nikaanza kumpanga yule wa FB na hatimaye alikuja mida saa 4 usiku na ndiye nikalala nae hadi asubuhi. Nilifarijika kiasi maana usiku haukuwa mbaya.

Ilipofika asubuhi huyu wa FB nikaagana nae akasepa. Yule mwanachuo akanitafuta eti kunisalimia, nikamuuliza angekuja saa ngapi, akajibu "sina uhakika lakini nitakujulisha". Ilifika mida ya lunch nikala na kujaribu kumtafuta mwanachuo hapatikani hewani🤣🤣. Basi kwa vile sikuwa nimelipia hiko chumba ikabidi nipange namna ya kusafiri kurudi home.

Niliondoka saa kumi kwenda Mbezi kutafuta gari za kaskazini, nikafanikiwa kupata gari nikaanza tena safari ya usiku kurudi home. Njia nzima nilikuwa nasikiliza wimbo wa " Beka Fleva- poa poa" hadi leo nikiusikia huo wimbo nakumbuka tukio hilo.

Wanachuo mungu awaongoze kwa matendo yao!
Kosa ulilo fanya ni kutaka weka ratiba ya mawasiliano yani na vituko vyote bado unaamini ni kweli kabanwa?kama mtu hakupendi ni hakupendi tu

Mimi unakut nina pepa natakiwa jisomea ila msg moja hadi tano za kujulia mtu hali huwezi shindwa andika sasa iweje yeye ajidai yuko busy kiasi hicho?

Nishakuwa na demu wote tulikuwa wanachuo vyuo tofauti hata ratiba ni tofauti pia alianza marue rue siku ya pepa ile week et hanitafuti hadi anaenda chuo na anakaa town anafika anafanya pepa anarudi home jioni ndo labda naweza pata msg moja ukiuliza anasema yuko busy

Nikachoka dawa ya moto nimoto nikatafuta wa kuniweka busy ..

Ukimsumbua sana na yeye anapata nafasi ya kucheat vizuri

Ila akiwa anacheat na uko zako busy yeye pia anakuwa anawaza au na wewe unafanya kama yeye anavofanya hata hamu yakuendelea anakosa mpe muda usimwambie umemuacha fanya mambo yako
 
NATAMANI NIJUE...NINI KILIENDELEA...VIPI MAISHA YAKE BAADA YA CHUO...PENZI LIMEFIKIA WAPI?
Niliacha kumtafuta ingawa yeye alikuwa anaakaa kama mwezi au miezi kadhaa anantafuta kwa salama tuu nami namjibu vzuri lakini sikuwahi kuingiza mapenzi tens.
Bado anasoma hajamaliza
 
Back
Top Bottom