Mkuna mgongo
Member
- Dec 9, 2019
- 87
- 137
- Thread starter
- #61
🤣🤣🤣 haya mapenzi kipofu mwamba!!unatuangusha sana mwamba, huzuria vikao vyetu kila wakati acha kuwa na shingo ngumu tutakupoteza mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 haya mapenzi kipofu mwamba!!unatuangusha sana mwamba, huzuria vikao vyetu kila wakati acha kuwa na shingo ngumu tutakupoteza mapema
Yaani nikikumbuka maisha ya chuo, mmh sidhani kama nitakuwa na hisia na yeye. Alafu nilimuuliza kama ameanza kunywa pombe, akajibu "mara moja moja" nikaona wazi kuwa ashapotea.Usijali atakutafuta akimaliza chuo maisha yakianza kumtandika
🙏🙏🙏Story flani hivi ya kufurahisha 😂😂
😂😂😂😂 ety ndoigeIla mahusinao ya karne hii ni full ndoige, si kikeni wala kiumeni.
Tuwe makini sanaMtihani huu
Lipi hilo? Tushirikishe ili tupate somo 😄😄😄Sina neno la kusema hicho kilichonikuta mm mwaka juzi.Ila lilinikomaza sn lile jambo.Now najiona katili kwenye mapenzi kumbe la hasha ndo natakiwa niwe hivo
Duuh!Vitoto vya kike vikifika chuo vinatombesha balaa ni wachache sana wanakuwa na misimamo yao
Kiukweli nilihisi mapema kuwa haitakuwa rahisi lakini ukishaingia penzini huwa unajpa moyoKwa hiyo Mkuu ulitaka wewe ukonzako huko Kaskazini mwenzio yupo Dar kwamba hapo kuna mapenzi.mlisha ambiwa fimbo ya mbali haiui nyoka.
Sikurogwa mzee🤣🤣🤣 kwahiyo akili yangu ilishtuka mapemaAmbacho sijapenda inaonekana baada ya hapo ulimpotezea kwanini ulifanya hivyo. Unge endelea kuteseka tu mpaka aakuue.
Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
Ni kweli mzee kwangu haitatokea tena lakini nna hofu na vijana wenzanguHahahah kwa wanachuo ni kawaida hio tabia wako nayo. Lazma apate boya wa kumchachua na kumformat akili kiingia chuo tu. Unajua chuo kuna aina flani ya maisha ambayo yanawachanganya sana wadada hata awe mjanja kiasi gani.
Ukifika wakati unaagana na demu wako anaenda chuo kama hampo mkoa mmoja ni muda muafaka wa kuweka mashada juu ya kaburi la penzi lenu. Atakudanganya atajitunza kwa ajili yako hio ni uwongooo... Uwongoo hio 🤣🤣🤣! Cha kufanya tafta sub tu mapema.
Yaan siku iliyofuata asubuhi nikiwa njian narudi home ndo akanitafuta lakini sikupokea simu.Ikawaje alivyowasha simu? Au ndio hakukutafuta tena?
Ahsante lakini nimepata fundishoPole Mkuu
Naamini usemayoMmmh, ukiwa na malengo na mtoto wa chuo umekwisha. Lazima wakiingia huko wapate watu wapya, fikra zinabadilika na lazima utemwe au upangwe tu hakuna namna.
Kosa ulilo fanya ni kutaka weka ratiba ya mawasiliano yani na vituko vyote bado unaamini ni kweli kabanwa?kama mtu hakupendi ni hakupendi tuHamjambo wanajamii..!
Niende moja kwa moja kwenye mkasa huu,
Niliingia kwenye uhusiano na binti aliyemaliza elimu ya kidato cha sita. Tulipendana sana na nilijitahidi kughalamia kila kilicho ndani ya uwezo wangu. Pia yeye alijitoa haswaa kila nilipohitaji msaada wake wa hasa kwenye swala mbususu alinitunuku kila nikihitaji.
Alipoanza mchakato wa chuo kwakweli nilishiriki kumsaidia kufanya maombi na ushauri pia bila kusahau vihela vya bando na stationery. Kwa vile nilipitia chuo na nna kadigrii basi akawa ananiamini na kufuata kile nnachomshauri na nilikuwa najua nini anatakiwa kufanya.
Majibu yakatoka amechaguliwa chuo kilichopo DSM na sisi hapo tuko mikoa ya kaskazini, alifurahia sana japo me sikuwa na furaha nikihofia kumpoteza. Aliniahidi kuwa hatobadilika hata akifika huko. Maandalizi yakafanyika, nakumbuka siku moja kabla ya kuondoka kwenda Dar tulilala pamoja usiku mzima unaju ile kuagana. Alionesha kusikitika kuwa atanimiss sana dah!
Alipofika Dar es salaam kwa siku za mwanzo aliendelea kuntafuta na tukitumia muda mwingi sana kuongea au kuchati, lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda akawa hapatikani sana akidai anabanwa na kazi za chuo. Nikamwambia basi tuweke ratiba ya kuwasiliana yaani kama asubuhi kabla hujaingia class au mchana ukiwa mapumziko na jioni/usiku anitafute akitulia. Akafata hizo ratiba siku mbili then akapotea na kazi ikawa ile ile, mara amepitiwa na usingizi, mara kazi zilikuwa nyingi ameshndwa kujibu meseji wala kupokea.
Matukio hayo yote yalitokea ndani ya mwezi mmoja tuu, nikaona isiwe shida basi Mimi niende huko labda nikiwa nae kwa siku hata mbili anaweza kurudi kwenye imaya yangu. Nikamweleza mpango wangu wa kwenda kuonana nae, akasema sawa atafurahi kukutana tena na mi mpenzi wake. Nikaulizia ratiba zake kama zitaruhusu kutumia muda wa kutosha na Mimi akajibu "hamn shida na siwez kosa muda".
Me nikajipanga mzee kwa kiasi cha pesa nnachojua kitantosha kwa siku nitakzokuwa huko. Kwa kuwa nafanya kazi na sikutaka kuomba ruhusa kazini ikanibidi niondoke ijumaa baada ya saa za kazi ili jmosi na jpili niwe na mtoto. Basi jioni saa kumi nikatafuta usafiri kwa bahati nikapata Noha lakini ilitoka saa 12 jioni. Tulisafiri usiku mzima lakini yeye nikamwambia nitatoka kesho yake ambayo ni jmosi, sikutaka ajue kuwa nasafiri usiku na hakika hiyo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kusafiri mbali kufuata mapenzi. Kwa hilo nijiona shujaa kwa vile niliona naonesha mapenzi ya dhati na kupapalia penzi pia.
Nilifka Dar saa 11 alfajiri nikiwa nimechoka hoi na usingizi kama wote, hivyo nakawaza sehemu ya kupumzka kwanza. Nikafanikiwa kupata sehemu ya kupumzka (lodge), nilaoga alafu nikalala lakini wakati huo nishamcheki yule binti kuwa nimepata gari ndogo (private) hivyo nitawahi kufika Dar. Akajibu " sawa me nitakuwa nakusubiri wewe ukifika nijulishe".
Ilipofika mida ya saa sita nikamwambia nimekaribia kufika na kufikia saa 8 nitakuwa mjini. Akasema "haina shida utanambia ulipofikia nije". Sasa wakati namwambia hivyo nikamchombeza kuwa " si umejiandaa kabisa kulala na mimi ?", akajibu "tutaangalia". Hapo nikaanza kupata mashaka kuwa hasingeweza kulala.
Ilipofika ili mida nikamwambia nilipo, akasema anakuja maana alishatoka kwenye kipindi. Basi kweli alipokaribia nikamfuata na kuongozana nae hadi pale lodge. Basi ile kufika ndani nikashangaa kuona yuko busy na simu wakati alikuwa ananambia anashindwa kuongea na mimi sababu anabanwa na majukumu ya chuo. Nikajaribu kumwambia aachane na simu na aone uwepo wangu lakini bado kila dakika meseji zinaingia tuu, kama sio kawada basi za Watsapp.
Ikabidi niichukue simu ili niweke mezani lakini akawa anazuia kushika simu take. Nikaanza kumtomasa ili nile nilichokisafiria, akadai anasumbuliwa na maumivu ya kichwa. Nikaona sasa nishaingia mtumbwi wa vibwengo😥😥, roho inaniuma mtu niliyemsafiria umbali wote lakini haoneshi kujali. Ikabidi nianze risala ya kumuweka sawa huku nashika kagauni kake kafupi alichovaa. Mwishowe nikafanikiwa kuvua pichu na nikaweka mkuyenge lakini hajavua like gauni. Nikashughulikaa mpaka wazungu walipokuja ndo kumuacha kwanza.
Nikaanza kumuuliza kama angeweza kulala akadai hawezi kulala na visababu kibao. Basi nijionea wazi kuwa hayuko na mimi kabisaa 🤢🤢🤢. Niliumia lakini mwisho nikamruhusu aondoke na kumsindikza hadi kituo cha daladala, nikampa nauli na kuagana nae kwa ahadi angenitafuta tena kesho yake ambayo ni jpili. Nikarudi zangu lodge nikiwa na mawazo hasa kilichotokea siamini na nitalalaje peke yangu usiku huo. Kulikuwa na manzi nachati nae FB siku nyingi nikamwambia siku nikija Dar ntakutafuta, kwahiyo nilipoona dalili ya kuwa huyu ninayemjia halali nikaanza kumpanga yule wa FB na hatimaye alikuja mida saa 4 usiku na ndiye nikalala nae hadi asubuhi. Nilifarijika kiasi maana usiku haukuwa mbaya.
Ilipofika asubuhi huyu wa FB nikaagana nae akasepa. Yule mwanachuo akanitafuta eti kunisalimia, nikamuuliza angekuja saa ngapi, akajibu "sina uhakika lakini nitakujulisha". Ilifika mida ya lunch nikala na kujaribu kumtafuta mwanachuo hapatikani hewani🤣🤣. Basi kwa vile sikuwa nimelipia hiko chumba ikabidi nipange namna ya kusafiri kurudi home.
Niliondoka saa kumi kwenda Mbezi kutafuta gari za kaskazini, nikafanikiwa kupata gari nikaanza tena safari ya usiku kurudi home. Njia nzima nilikuwa nasikiliza wimbo wa " Beka Fleva- poa poa" hadi leo nikiusikia huo wimbo nakumbuka tukio hilo.
Wanachuo mungu awaongoze kwa matendo yao!
Niliacha kumtafuta ingawa yeye alikuwa anaakaa kama mwezi au miezi kadhaa anantafuta kwa salama tuu nami namjibu vzuri lakini sikuwahi kuingiza mapenzi tens.NATAMANI NIJUE...NINI KILIENDELEA...VIPI MAISHA YAKE BAADA YA CHUO...PENZI LIMEFIKIA WAPI?