Achana na Mwanachuo!

Una miaka mingapi?
 
Ila mahusinao ya karne hii ni full ndoige, si kikeni wala kiumeni.
Nilitaka nikufate pm nikutongoze nikaogopa utanipiga ndoige na pelesu pelesu, kama sio ngumi mchomoko, ndo maana nikikuona nakula Tu kwa macho sahivi πŸ˜… Depal
 
Mnatushauri nini sis wenye watoto wetu wa kike. Maana haya mambo kwamba mwanangu anamkwe wangu Mimi sijui nawaza kwamba huyu ng'ombe ananiomba pesa ale na mwanaume
Hapo ni kukaza moyo tu mkuu.

Nilikuwa na mshkaji wangu chuo alikuwa choka mbaya sana kiuchumi ila alikuwa na kabinti flani hivi mtoto wa mchungaji. Yaan yule binti daily ilikuwa ni kuomba pesa kwao ili kumuhudumia boyfriend wake. Yule binti alikuwa yuko radhi kushinda na njaa ili jamaa yake ale.

Mwishoni jamaa alimchapa mimba akamkimbia [emoji23]
 
Au mjuba anamnunulia chipsi kuku tu mtoto anavua chup! anapelekewa moto... Hawa wadada wakishafika chuo tu basi na akili za kujiheshimu zinapotea kabisa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tumepata elimu ya dunia ili tuwafikishie wengine wasije ingia kwenye hii mitumbwi
 
Yani simu ilistack siku nzima? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ila mwisho wa siku unaweza kukuta ww ndio uliomba msamaha na Penzi likaendelea
🀣🀣 hamna kilichoendelea mpaka hivi sasa mikausho tuu
 
Duuh pole sana mkuu lakini umeshakomaa sasa kimapenzi
 
Nilitaka nikufate pm nikutongoze nikaogopa utanipiga ndoige na pelesu pelesu, kama sio ngumi mchomoko, ndo maana nikikuona nakula Tu kwa macho sahivi πŸ˜… Depal
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Happy new year aisee
 
Analiwa na mhadhiri wake

Kuna kadenti Kenzie kavaa mlegezo na kanyoa panki kana mkaza.

Analiwa na yule jibaba mwenye Subaru Forester new model.

Anauza mtandaoni.

Achana na hao viumbe fanya Yako.

Hao ni WA kuwatemea wazungu then unachapa lapa.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…