Achana na Mwanachuo!

Analiwa na mhadhiri wake

Kuna kadenti Kenzie kavaa mlegezo na kanyoa panki kana mkaza.

Analiwa na yule jibaba mwenye Subaru Forester new model.

Anauza mtandaoni.

Achana na hao viumbe fanya Yako.

Hao ni WA kuwatemea wazungu then unachapa lapa.
Kumbeee....basi kama ndo hivyo inahitajika kuwakwepa kama ukoma
 
Analiwa na mhadhiri wake

Kuna kadenti Kenzie kavaa mlegezo na kanyoa panki kana mkaza.

Analiwa na yule jibaba mwenye Subaru Forester new model.

Anauza mtandaoni.

Achana na hao viumbe fanya Yako.

Hao ni WA kuwatemea wazungu then unachapa lapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa mbavu sinaa.
 
Mafeminist uchwara nimecheka sana [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka nikufate pm nikutongoze nikaogopa utanipiga ndoige na pelesu pelesu, kama sio ngumi mchomoko, ndo maana nikikuona nakula Tu kwa macho sahivi πŸ˜… Depal
Mkuu usimsemee, wewe nenda mambo ya pelesu pelesu mwachie yeyeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahh mkuu ndo unawasagia kunguni kabisa.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Yaan siku iliyofuata asubuhi nikiwa njian narudi home ndo akanitafuta lakini sikupokea simu.
Nilipofka kabisa ndo nikampgia nikamweleza jinsi nilivyojisikia,. Akadai ety simu ilistaki day!
[emoji16][emoji4][emoji4][emoji16]
 
Sawa ila sitoi hata mia mbovu ya matumizi atapambana na hali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…