Achana na Toyota IST chukua huyu mnyama

Achana na Toyota IST chukua huyu mnyama

Spea zinapatikana wapi?
We nae acha ushamba. Zama hizi za mtandao unauliza spare parts?

Siku hizi gari ukiona spare hazipatikani makampuni kibao wanaweza kukutumia kwa njia ya meli au ndege kwa gharama nafuu.

Na kampuni za kusafirisha zimejaa tele. Tena unachukua mzigo dubai hapo. Hata Japan wanakuletea.

Acha uoga mdogo wangu, ishi.
 
Hebu tuchukue Audi A1 ambayo ina engine ya 1.4L Turbo halafu direct injection(FSI). Inaproduce 122HP tofauti na IST ambayo inaproduce 104HP with 1.5L.

Highway inakupa around 23Km/L wakati mjini inakupa around 16Km/L

Na kwa kuongezea tu Audi ya 1.4L inakuja na gearbox ya 7 speed S-tronic(Hii ni Direct shift gearbox),

Hizo dsg zimefungwa kwenye hatchback na sedan nyingi sana za mzungu tena performance cars kuanzia M sport kwenye bmw, AMG kwenye mercedes, R, RS kwenye audi na R, R-line kwenye VW

Sasa mwenye IST akikukuta barabarani anawaweza akahisi wewe ni mwenzake akataka akutunishie misuli kwamba anaweza ligi.... Weeeee atapasua block hivihivi anajiona.
Manina hadi nimedinda. Hii gari imeshanipa nyege kumanina.
 
Back
Top Bottom