Hebu tuchukue Audi A1 ambayo ina engine ya 1.4L Turbo halafu direct injection(FSI). Inaproduce 122HP tofauti na IST ambayo inaproduce 104HP with 1.5L.
Highway inakupa around 23Km/L wakati mjini inakupa around 16Km/L
Na kwa kuongezea tu Audi ya 1.4L inakuja na gearbox ya 7 speed S-tronic(Hii ni Direct shift gearbox),
Hizo dsg zimefungwa kwenye hatchback na sedan nyingi sana za mzungu tena performance cars kuanzia M sport kwenye bmw, AMG kwenye mercedes, R, RS kwenye audi na R, R-line kwenye VW
Sasa mwenye IST akikukuta barabarani anawaweza akahisi wewe ni mwenzake akataka akutunishie misuli kwamba anaweza ligi.... Weeeee atapasua block hivihivi anajiona.