Achana na Toyota IST chukua huyu mnyama

Achana na Toyota IST chukua huyu mnyama

Nimekuwa nikisikia mafundi kadhaa wakiwaasa watu wasinunue Audi sababu zinakufa sana gearbox, kuna ukweli?
Mafundi wabongo waliofel physics wanajua ninyl kinachoua magari mengi ni kukosea kuweka hydrolic oil lazima gear box ife ,sasa kama mtu anaweka tu ili mrdi hydrolic unadhani mzungu anataka utani, kingine hatuna utamaduni wa kusoma manual book tunabaki kufata maelezo ya mafundi matokeo wanakuponza
 
Gari nyingi za mjapani za kuanzia 2008 zitakapoanza kuingia kwa wingi. Vilio vitakuwa vingi kila Kona.

Ni suala la Muda tu.
 
Gari za Mjerumani zipo mpa za Cc1000 na zina perform kuliko hata Cc1200 ya mjep.
Unaanza kucompare turbo na natural aspirated..... Kama zimetumia technology tofaut lazima zi perfom tofaut yamaha yzf125 ina cc 125 ni fuel injection..ina perform vizuri kuliko hata boxer bm150 ya carburettor...

Naomba hio engine ya germany cc 1000 kamili tuma engine name yake afu tui linganishe na hata 2nz
 
Hii ni inferiority mkuu.

Mimi hakuna sehemu nilimention turbo.

Au unahisi engine zote za Wajerumani zina turbo ndio maana zinajiweza?

Haya twende

Kuna engine ya VW inaitwa CHYB ina Cc 999, Haina turbo na wala siyo FSI. Imefungwa kwenye Baadhi ya Polo lakini pia imefungwa Kwenye Audi A1 toleo la UK.

Hiyo engine ina produce 74HP.

Tuje kwa 2NZ, Pamoja na kwamba ina Cc1290, Almost Cc 300 zaidi ya hiyo CHYB lakini inazalisha 84HP tu.

Mbaya zaidi kwenye Audi au VW hiyo engine inafungwa na 5 speed transmission wakati kwenye IST inafungwa na 4 speed transmission.

Sijui nimeeleweka?

Comparison yangu ilikuwa Cc1000 za mjerumani kwa Cc1200 za mjapani. Comparison ya hapa kuna gape la Cc300....
 
Hebu tuchukue Audi A1 ambayo ina engine ya 1.4L Turbo halafu direct injection(FSI). Inaproduce 122HP tofauti na IST ambayo inaproduce 104HP with 1.5L.

Highway inakupa around 23Km/L wakati mjini inakupa around 16Km/L

Na kwa kuongezea tu Audi ya 1.4L inakuja na gearbox ya 7 speed S-tronic(Hii ni Direct shift gearbox),

Hizo dsg zimefungwa kwenye hatchback na sedan nyingi sana za mzungu tena performance cars kuanzia M sport kwenye bmw, AMG kwenye mercedes, R, RS kwenye audi na R, R-line kwenye VW

Sasa mwenye IST akikukuta barabarani anawaweza akahisi wewe ni mwenzake akataka akutunishie misuli kwamba anaweza ligi.... Weeeee atapasua block hivihivi anajiona.
Wewe jamaa utakuwa mechanical injinia
 
Hii ni inferiority mkuu.

Mimi hakuna sehemu nilimention turbo.

Au unahisi engine zote za Wajerumani zina turbo ndio maana zinajiweza?

Haya twende

Kuna engine ya VW inaitwa CHYB ina Cc 999, Haina turbo na wala siyo FSI. Imefungwa kwenye Baadhi ya Polo lakini pia imefungwa Kwenye Audi A1 toleo la UK.

Hiyo engine ina produce 74HP.

Tuje kwa 2NZ, Pamoja na kwamba ina Cc1290, Almost Cc 300 zaidi ya hiyo CHYB lakini inazalisha 84HP tu.

Mbaya zaidi kwenye Audi au VW hiyo engine inafungwa na 5 speed transmission wakati kwenye IST inafungwa na 4 speed transmission.

Sijui nimeeleweka?

Comparison yangu ilikuwa Cc1000 za mjerumani kwa Cc1200 za mjapani. Comparison ya hapa kuna gape la Cc300....
Hii ni comment yako.. Hebu tuchukue Audi A1 ambayo ina engine ya 1.4L Turbo halafu direct injection(FSI). Inaproduce 122HP tofauti na IST ambayo inaproduce 104HP with 1.5L...
Bado hujaona wapi umemention TURBO!!!?
 
Umeongelea HP.. Vipi kwenye Torque..!!?
Maana Torque ndio yenyewe kwenye kufanya gari itembee..!
 
Hii ni comment yako.. Hebu tuchukue Audi A1 ambayo ina engine ya 1.4L Turbo halafu direct injection(FSI). Inaproduce 122HP tofauti na IST ambayo inaproduce 104HP with 1.5L...
Bado hujaona wapi umemention TURBO!!!?
Ubishani wetu haukuwa hapo mkuu...

Soma vizuri ubishani ulipoanzia...

Ndio maana yeye kwenye Post yake kaleta 2NZ....
 
Mjapani engine powerful anazo nyingi tuu.. Ukitazama gari kama Alteza.. Engine ya 3S..1998cc. Hakuna Mercedes C class(1998-2005 production ya Tezza) ya 1998cc yenye nguvu HP kama hiyo Alteza..!
Ishu ni gari za Kijapani zipo limited.. Sababu ya gentleman's agreement..!
 
Kwa hii engine nakubali kweli Yamaha hapo walifanya kazi yao....

Hii engine watu wanaweza kuwa wanaichukulia poa lakini imetumia tech ya Dual VVT ambapo toyota nyingi zimeanza kutumia tech hiyo 10 years later.
 
Mjapani engine powerful anazo nyingi tuu.. Ukitazama gari kama Alteza.. Engine ya 3S..1998cc. Hakuna Mercedes C class(1998-2005 production ya Tezza) ya 1998cc yenye nguvu HP kama hiyo Alteza..!
Ishu ni gari za Kijapani zipo limited.. Sababu ya gentleman's agreement..!
Germans walikuwa na gentleman's agreement ila kuna makampuni kama Porsche hawakujali hilo.

Madude yao yanatoboa mpaka 320kph.
 
Back
Top Bottom