Achana na Toyota IST chukua huyu mnyama

Achana na Toyota IST chukua huyu mnyama

Yes Audi zinaua gearbox hasa zenye gearbox za DSG...

Lakini hiyo gearbox ni kama gearbox ya manual.... Utofauti tu ni kwamba hiyo inakuwa na Dual clutch.... Kam hukumess up kwenye services basi mara nyingi kinachokufa ni hizo clutch....

Clutch zinaweza kuwa Dry au Wet....

Kwa ulaya naonaga wanabadili hizo clutch na maisha yanaendelea... Ila kibongobongo ndio imeisha hiyo....

Ulaya pia huwa wanakuwa na Overhaul kit za hizi gearbox za kawaida ila Bongo hazipo.

Shukrani mkuu,

Hivyo ushauri wako ni kama mtu anataka nunua Audi, at any cost inabidi kuavoid yenye iko na DSG gearbox?
 
Shukrani mkuu,

Hivyo ushauri wako ni kama mtu anataka nunua Audi, at any cost inabidi kuavoid yenye iko na DSG gearbox?
Na nyingi zina DSG.... Kama hiyo A1 wametoa Automatic zenye DSG na manual tu... hakuna matoleo mengine....

Pia siyo rahisi sana kujua kama gari ina DSG... Unless uwe umeendesha.... Au uchimbe sana mtandaoni.
 
Hebu tuchukue Audi A1 ambayo ina engine ya 1.4L Turbo halafu direct injection(FSI). Inaproduce 122HP tofauti na IST ambayo inaproduce 104HP with 1.5L.

Highway inakupa around 23Km/L wakati mjini inakupa around 16Km/L

Na kwa kuongezea tu Audi ya 1.4L inakuja na gearbox ya 7 speed S-tronic(Hii ni Direct shift gearbox),

Hizo dsg zimefungwa kwenye hatchback na sedan nyingi sana za mzungu tena performance cars kuanzia M sport kwenye bmw, AMG kwenye mercedes, R, RS kwenye audi na R, R-line kwenye VW

Sasa mwenye IST akikukuta barabarani anawaweza akahisi wewe ni mwenzake akataka akutunishie misuli kwamba anaweza ligi.... Weeeee atapasua block hivihivi anajiona.
Gari gani ambayo sio hybrid ya cc hizo ikupe 23km/L 😁
 
Okay gari za ulaya zinakuwa na perfomance nzuri sababu ya vitu kama hivi...
Hako kagari unaweza ukakuta kana...

EGR

Secondary air injection pump

Stratified fuel injection

Variable valve timing

Valve tronic

Na mengine mengi... Vitu ambavyo ni rarely kuvikuta kwenye engine za mjapani....
Kwan variable valve timing kwenye IST hamna
 
mambo yako hayo mkuu
Muhimu sana.. utelezi ujariwe ( caring) kuna mtu na IST yake ataka aanzishe ligi 😂😂😂
BK268803_d9972a.jpg
BK268803_f33892_edit_22833994120473.jpg
BK268803_d7a9af_edit_22840642987659.jpg
BK268803_eca167_edit_22825459398599.jpg
 
Hebu tuchukue Audi A1 ambayo ina engine ya 1.4L Turbo halafu direct injection(FSI). Inaproduce 122HP tofauti na IST ambayo inaproduce 104HP with 1.5L.

Highway inakupa around 23Km/L wakati mjini inakupa around 16Km/L

Na kwa kuongezea tu Audi ya 1.4L inakuja na gearbox ya 7 speed S-tronic(Hii ni Direct shift gearbox),

Hizo dsg zimefungwa kwenye hatchback na sedan nyingi sana za mzungu tena performance cars kuanzia M sport kwenye bmw, AMG kwenye mercedes, R, RS kwenye audi na R, R-line kwenye VW

Sasa mwenye IST akikukuta barabarani anawaweza akahisi wewe ni mwenzake akataka akutunishie misuli kwamba anaweza ligi.... Weeeee atapasua block hivihivi anajiona.
HuWa nainjoi Sana na comments zako hasa kwenye magari ya mzungu.....Kwa kifupi magari yetu ya Toyota mengi ni 4 speed transmission hapa ndipo shida inapoanza ingawa wengi wanoendesha haya magari ya kijapan hawajui kuwa gari yake haina uwezo WA kubishana na mjerumani.

Kwa mfano Volkswagen golf GTi ni 7 speed transmission(DSG) alafu ina turbocharger, dashboard yake inasoma speed 300 km/h SASA bila kuelewa unakuta mwenye Toyota runx au allex anataka kubishana nalo kwasababu Tu inafanana muundo WA body
 
Back
Top Bottom