HuWa nainjoi Sana na comments zako hasa kwenye magari ya mzungu.....Kwa kifupi magari yetu ya Toyota mengi ni 4 speed transmission hapa ndipo shida inapoanza ingawa wengi wanoendesha haya magari ya kijapan hawajui kuwa gari yake haina uwezo WA kubishana na mjerumani.
Kwa mfano Volkswagen golf GTi ni 7 speed transmission(DSG) alafu ina turbocharger, dashboard yake inasoma speed 300 km/h SASA bila kuelewa unakuta mwenye Toyota runx au allex anataka kubishana nalo kwasababu Tu inafanana muundo WA body