Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ukikosea hydraulic umeua gearboxNimekuwa nikisikia mafundi kadhaa wakiwaasa watu wasinunue Audi sababu zinakufa sana gearbox, kuna ukweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikosea hydraulic umeua gearboxNimekuwa nikisikia mafundi kadhaa wakiwaasa watu wasinunue Audi sababu zinakufa sana gearbox, kuna ukweli?
Ukikosea hydraulic umeua gearbox
Wengi wanadhani ni kama gari za kijapan .. Sometimes ni mafundi. Ni kama nisaan Serena n the like ukikosea hydraulic usipoweka CVT OG umeua gearbox.. Halafu wanasingizia ubovuHii naifahamu...
Au wamaanisha walio na hizo gari hawana ufahamu wa oil ipi inafaa kwa gearbox zao?
Wengi wanadhani ni kama gari za kijapan .. Sometimes ni mafundi. Ni kama nisaan Serena n the like ukikosea hydraulic usipoweka CVT OG umeua gearbox.. Halafu wanasingizia ubovu
umekazana na hydraulic, hydraulic....hydraulic usipoweka CVT OG umeua gearbox..
How Does a CVT Work?Gotcha...
acha nitafute katoto kamoja humu jf nihonge ka Audi A1... 😊😀Hebu tuchukue Audi A1 ambayo ina engine ya 1.4L Turbo halafu direct injection(FSI). Inaproduce 122HP tofauti na IST ambayo inaproduce 104HP with 1.5L.
Highway inakupa around 23Km/L wakati mjini inakupa around 16Km/L
Na kwa kuongezea tu Audi ya 1.4L inakuja na gearbox ya 7 speed S-tronic(Hii ni Direct shift gearbox),
Hizo dsg zimefungwa kwenye hatchback na sedan nyingi sana za mzungu tena performance cars kuanzia M sport kwenye bmw, AMG kwenye mercedes, R, RS kwenye audi na R, R-line kwenye VW
Sasa mwenye IST akikukuta barabarani anawaweza akahisi wewe ni mwenzake akataka akutunishie misuli kwamba anaweza ligi.... Weeeee atapasua block hivihivi anajiona....
Kampuni ya Audi ni kampuni ya magari ya kijerumani inayotengeneza magari ya Aina mbalimbali ni kampuni ya kijanja Kwa kijana na mtu anayejielewa Kwa bongo hapa IST imekuwa gari ya taifa [emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbadala wake ni Audi A1 gari Safi Kwa Bei Safi na toleo la hivi karibuni
Kama Una ndoto ya kumiliki Toyota IST Bora ukanunua Audi A1 hutajuta View attachment 2072547View attachment 2072548
Okay gari za ulaya zinakuwa na perfomance nzuri sababu ya vitu kama hivi...Mifumo ya umeme ukimaanisha Ni hybrid au EV?
CVT hiyo.. haitaki kashkash mzee....Unaiua gearbox ya IST ukiwa unafanya Nini?
Yes Audi zinaua gearbox hasa zenye gearbox za DSG...Nimekuwa nikisikia mafundi kadhaa wakiwaasa watu wasinunue Audi sababu zinakufa sana gearbox, kuna ukweli?
umekazana na hydraulic, hydraulic.... hydraulic ndio nini ?
fork lift na winchi na jeki ya matairi ndio zinajazwa hydraulic fluid...
Fizikia kidato cha pili, fluid dynamics, fluid pressure etc.. etc...
unamaanisha transmission fluid ????
gari za kijerumani kubadilisha trans fluid ni mpaka maili 50,000 mpaka 100,000....
na kuna nyingine ka bima na benzi user manual inasema transmission fluid ni lifetime fill....
risk ya kuua tranny iko wapi kama unaweza kukaa na gari mpaka unaiuza hujagusa trans fluid?
😁😁😁😁Dunia kijiji
mambo yako hayo mkuuacha nitafute katoto kamoja humu jf nihonge ka Audi A1... 😊😀
😁😁😁😁
Huwezi amini Audi A1 kuna zingine zina sunroof ambako Kwa gari za japani za kundi moja na hii hazina licha hiyo zina features nyingi zaidiHalafu kitu kimoja nilisahau....
Hizi gari bhana msiweke videbe....
Engine ya FSI/TFSI inawekaje kidebe?
Hapo ndio watu huwa wanalalamika oooh engine zake mbovu.....
Ukiweza kuweka premium utanishukuru baadae.
SureHuwezi amini Audi A1 kuna zingine zina sunroof ambako Kwa gari za japani za kundi moja na hii hazina licha hiyo zina features nyingi zaidi
Tatizo liko Kwa wamiliki kutofata namna ya kuimaintain