Achana na ujeuri wake ila Bongo hakuna msanii kama Baraka Da Prince

My Honest Book

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
1,363
Reaction score
2,161
Tuwe tu wakweli tuache nongwa Baraka Da Prince anajua sana basi tu changamoto za maisha zinamfanya anakua na kisilani sana na lugha za matusi bila kuogopa wakubwa zake kwny tasnia.

Jamaa katoa wimbo wake mpya kamshirikisha Joh Makini unaitwa Permanent Love,wimbo mkali sana,melody kali iko on point [emoji848][emoji848]

Leo nimechill home wimbo uko kwny repeat since morning

Give this dude his flowers asee

Hakuna msaniii wa kuimba bongo anamkuta Baraka Mjeuri
 
Me huwa na rate ukali wa msanii pale anapotolewa kwenye comfort zone yake halafu bado akashine, namkubali sana baraka akiimba chorus ya rap. ngoma kama fid q ft baraka - mafanikio, omg ft baraka - uongo na umbea, dipper rato ft baraka - my type... namuelewa sana hasa akishirikishwa.
 
me hua na rate ukali wa msanii pale anapotolewa kwenye comfort zone yake alafu bado aka shine, namkubali sana baraka akiimba chorus ya rap. ngoma kama fid q ft baraka - mafanikio, omg ft baraka - uongo na umbea, dipper rato ft baraka - my type... namuelewa sana hasa akishirikishwa.
Jamaa mchawi wa melody
 
Tuwe tu wakweli tuache nongwa Baraka Da Prince anajua sana basi tu changamoto za maisha zinamfanya anakua na kisilani sana na lugha za matusi bila kuogopa wakubwa zake kwny tasnia.

Jamaa katoa wimbo wake mpya kamshirikisha Joh Makini unaitwa Permanent Love,wimbo mkali sana,melody kali iko on point [emoji848][emoji848]

Leo nimechill home wimbo uko kwny repeat since morning

Give this dude his flowers asee

Hakuna msaniii wa kuimba bongo anamkuta Baraka Mjeuri
Zilipendwa huyo hata vichaka vilituficha shule za msingi
 
Tuwe tu wakweli tuache nongwa Baraka Da Prince anajua sana basi tu changamoto za maisha zinamfanya anakua na kisilani sana na lugha za matusi bila kuogopa wakubwa zake kwny tasnia.

Jamaa katoa wimbo wake mpya kamshirikisha Joh Makini unaitwa Permanent Love,wimbo mkali sana,melody kali iko on point [emoji848][emoji848]

Leo nimechill home wimbo uko kwny repeat since morning

Give this dude his flowers asee

Hakuna msaniii wa kuimba bongo anamkuta Baraka Mjeuri
Naona unampromote mjaluo mwenzio omera
 
Siku hizi umeacha kuimba kwa kubana pua? Tuanzie hapa kwanza Star wetu Baraka Da Prince.
 
Tuwe tu wakweli tuache nongwa Baraka Da Prince anajua sana basi tu changamoto za maisha zinamfanya anakua na kisilani sana na lugha za matusi bila kuogopa wakubwa zake kwny tasnia.

Jamaa katoa wimbo wake mpya kamshirikisha Joh Makini unaitwa Permanent Love,wimbo mkali sana,melody kali iko on point [emoji848][emoji848]

Leo nimechill home wimbo uko kwny repeat since morning

Give this dude his flowers asee

Hakuna msaniii wa kuimba bongo anamkuta Baraka Mjeuri
Nimèusikiliza nyimbo yenyewe wewe na huyo mumeo baraka hamjielewi hata kidogo
 
Back
Top Bottom