My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Tuwe tu wakweli tuache nongwa Baraka Da Prince anajua sana basi tu changamoto za maisha zinamfanya anakua na kisilani sana na lugha za matusi bila kuogopa wakubwa zake kwny tasnia.
Jamaa katoa wimbo wake mpya kamshirikisha Joh Makini unaitwa Permanent Love,wimbo mkali sana,melody kali iko on point [emoji848][emoji848]
Leo nimechill home wimbo uko kwny repeat since morning
Give this dude his flowers asee
Hakuna msaniii wa kuimba bongo anamkuta Baraka Mjeuri