matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ni njia ndefu sana. Hapa namaanisha mwenye mwendelezo wa kufeli, sio mwenye historia ya kufeli na kuinuka.Kama issue ni kujifunza, nadhani pande zote mbili wana mengi ya kukufundisha.
Ulichokiongea nakuelewa, ila umaliziaji wako ndio naukataa.Ni njia ndefu sana. Hapa namaanisha mwenye mwendelezo wa kufeli, sio mwenye historia ya kufeli na kuinuka.
Kuna watu wao kila wanachofanya kinafeli. Hawa ndio nawazungumzia, ukiiga haww unaweza kujikuta umeiga pattern ambayo itakusababishia kuchelewa kufaulu.
YeahKama issue ni kujifunza, nadhani pande zote mbili wana mengi ya kukufundisha.