Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 545
- 1,908
Mkifika zamu ya Wakiek, Waalagwa, Waburunge, Wagogo, Warangi, Wasandawe, mniambie mmefikia wapiule ndiyo maana nililipiga chuki so kama unataka kuoa usioe msukuma( mnyantuzu) ni ma butcher hao
Kama Wana penda hela hakuna shida je Wana akili ya kuzitafuta hizo hela?Wanawake wa kichaga wa afadhali sana tena sana ukilinganisha na wanawake wa kisukuma au wanawake wa kinyantuzu aisee hawa wanawake sio poa kabisa wao kukurushia kisu au kukuambia maneno kama kutaka kukuua ni kawaida sana yaani wanawake wa kinyantuzu wao kwa mali ni pete na kidole yaani wao wanawaza mali tu yaani wao ukiwaoa wao wanawazia mali tu na wao kukuua kisa mali ni kawaida na ni wanawake wenye tamaa sana,ujeuri,chuki na hasira ambazo hazina msingi wowote ule ndiyo maana nililipiga chuki so kama unataka kuoa usioe msukuma( mnyantuzu) ni ma butcher hao
Wasukuma fakeWasukuma hawa hawa wanaokula ugali mkubwa?!
Kukuua kawaida sanaKama Wana penda hela hakuna shida je Wana akili ya kuzitafuta hizo hela?
Wanaume wao weusi Sanaa? Wanao ili kuchanganya Rangi kidogo🤣🤣Wengi wana asili ya Rwanda ndo jamii ya wasukuma pekee wasio na tabia za kisukuma, ndo hao wanaotukuza wanawake weupe, wanaoa sana singida manyara arusha na moshi, hapo nadhani unapata picha hiyo combination kinatokea kitu gani,,, nyodo nyingi sana
Hakika...ninaowafahamu mimi hawako hivyoWasukuma fake
Kuna limama langu limoja na lenyewe linaabudu wanawake weupe yaan ukimleta mwanamke mweupe anaona ndio mwanamke wa kuoa ila ukimletea wanawake weusi anawaona km nini sijui takataka wakati yeye mwenyewe ni mweusi tena mweusi giza, hua naichukia sana hii tabiaWengi wana asili ya Rwanda ndo jamii ya wasukuma pekee wasio na tabia za kisukuma, ndo hao wanaotukuza wanawake weupe, wanaoa sana singida manyara arusha na moshi, hapo nadhani unapata picha hiyo combination kinatokea kitu gani,,, nyodo nyingi sana
niliambiwa wananawake wa makabila hayo wanaosemwa wana tabia mbaya hata wakiokoka huwa hawaachi tabia zao mbayamtu yeyote ambaye hana Mungu moyoni mwake, anaweza kutumiwa na shetani muda wowote kufanya lolote, haijalishi kabila lake
Kumbe ndio dizaini zile?Kuna yule somebody mbasha yule muimba gospel alimpiga tukio sidhani kama atakaa asahau kwenye maisha yake!
Unamchukia Mama yako?Kuna limama langu limoja na lenyewe linaabudu wanawake weupe yaan ukimleta mwanamke mweupe anaona ndio mwanamke wa kuoa ila ukimletea wanawake weusi anawaona km nini sijui takataka wakati yeye mwenyewe ni mweusi tena mweusi giza, hua naichukia sana hii tabia
Wanasema rangi inawaka km dhahabuKuna limama langu limoja na lenyewe linaabudu wanawake weupe yaan ukimleta mwanamke mweupe anaona ndio mwanamke wa kuoa ila ukimletea wanawake weusi anawaona km nini sijui takataka wakati yeye mwenyewe ni mweusi tena mweusi giza, hua naichukia sana hii tabia