Achana na wanawake wa kichaga, kuna hawa wanawake wa kisukuma (wanyantuzu) hawa mmmmh hatari sana

Wanawake wa kichaga wa afadhali sana tena sana ukilinganisha na wanawake wa kisukuma au wanawake wa kinyantuzu aisee hawa wanawake sio poa kabisa wao kukurushia kisu au kukuambia maneno kama kutaka kukuua ni kawaida sana yaani wanawake wa kinyantuzu wao kwa mali ni pete na kidole yaani wao wanawaza mali tu yaani wao ukiwaoa wao wanawazia mali tu na wao kukuua kisa mali ni kawaida na ni wanawake wenye tamaa sana,ujeuri,chuki na hasira ambazo hazina msingi wowote ule ndiyo maana nililipiga chuki so kama unataka kuoa usioe msukuma( mnyantuzu) ni ma butcher hao
Katika mazingira wanawake wenye roho ngumu ni wakikisukuma. Wana maigizo Yao ya kiasili anakusalimia mpaka goti chini ,lakini kiuhalisia ukiingia mkenge useme hiyo ndio heshima umekwisha
 
USIOGOPE KUOA MCHAGGA

Nimeona wanaume wengi mmeingiwa na hofu juu ya ndoa.

Watu wanasema "Usioe wa kabila fulani, WACHAGGA ni wauaji wa waume zao wakifanikiwa" na maneno mengine mengi. Maneno haya yamevunja ndoa nyingi kabla hata hazijaanza.

Nimekuandalia ujumbe huu ukutie moyo:

MSIKILIZE MUNGU, USISIKILIZE KELELE ZA WATU

Ndugu yangu,

Ndoa si kabila. Ndoa ni agano mbele za Mungu.

Ukioa kwa kusikiliza maneno ya watu, utaishi kwa hofu ya watu. Ukioa kwa kumsikiliza Mungu, utaishi kwa amani ya Mungu.

1. Kabila halimfanyi mtu kuwa mke mwema au mbaya.
Uovu na wema havina kabila. Mchagga mwema yupo, na wa kabila lingine mwovu yupo. Kila kabila lina malaika wake na lina wabaya wake. Usihukumu bustani nzima kwa sababu ya ua moja lililokwisha nyauka.

2. Mwanamke sahihi hutoka kwa Bwana, si kwa ukoo.
Biblia inasema: "Mke mwema hutoka kwa Bwana" Mithali 19:14.
Mungu haangalii kama ni Mchagga, Mhaya, Msukuma au Mpare. Mungu anaangalia moyo. Mtu akiwa na Mungu, Mungu humchorea mtu sahihi. Hata awe wa wapi, Mungu akisema huyu ndiye, ndiye.

3. Hofu si kutoka kwa Mungu.
Mungu hajakupa roho ya woga. Hofu ya kuoa kwa sababu ya porojo za mitandaoni na vijiwe vya kahawa itakuzuia usimkose yule Mungu aliyekuandalia. Usikubali shetani akutishe na hadithi za kusadikika.

Badala ya kuuliza "Ni kabila gani?" Anza kuuliza:

  • Je, huyu mwanamke anampenda Mungu kuliko anavyonipenda mimi?
  • Je, ana heshima, bidii na hekima ya kujenga nyumba?
  • Je, nikiwa chini, atanivumilia na kuniombea?
  • Je, amani yangu inathibitisha ndani yangu huyu ndiye?

Mke sahihi si yule asiye na mapungufu, ni yule Mungu aliyemkusudia awe safari yako ya kwenda mbinguni.

Kwa hiyo ndugu yangu, inuka. Omba. Fungua macho ya rohoni. Usioe kabila, oa mtu. Oa tabia, oa maombi, oa maono.

Mungu akiwa ndiye kiongozi wako, hatakuletea mwuaji, atakuletea msaidizi. Hatakuletea adui wa mafanikio yako, atakuletea mlinzi wa mafanikio yako.

Acha kuogopa. Anza kuomba.

"Mke mwema ni taji ya mumewe." Mithali 12:4

#Pdidy
 
Andiko lako ni nzuri lkn kwa Wachagga hapana.mdogo wangu kaoa rombo kwake hamna anayepagusa hata itokee shida gani.sisi tumeamua kumwacha na maisha yake ila familia imekata tamaa juu tunamwona ni msaliti kwa familia
 
Jamani msifikie huko sio wotee mkuu dah
Ukipata MCHAGGA wako wahi chap Ukamtolee MAHARI
WACHAGGA NI DILI
WACHAGGA NI WAPAMBANAJI
USIDANGANYIKE NDOA NI MPANGO WA MUNGU
 
Wengi wana asili ya Rwanda ndo jamii ya wasukuma pekee wasio na tabia za kisukuma, ndo hao wanaotukuza wanawake weupe, wanaoa sana singida manyara arusha na moshi, hapo nadhani unapata picha hiyo combination kinatokea kitu gani,,, nyodo nyingi sana
Nyodo na Dharau ndio Penyewe mimi ni Msukuma ila wale ni Balaa sema wana Wanawake wazuri sana
 
Hivi wanyantuzu ndo wale wasukuma weupe wa shinyanga?? hivi wasukuma wamegawanyika makundi ya aina ngapi?

Sasa hivi ni kuishi kwa akili na mwanamke wa Kila kabila, mambo yamebadilika
Wasukuma wanamatabaka kama matatu hivi kama sijakosea ila wanyatuzu wapo Bariadi yes ni wasukuma weupe na Wazuri sana hasa mabinti zao Mkuu na wengi ni Wasabato
 
Nahisi itakua ni asili ya wanawake tu Mbeya kuna kabila la wamalila, na baadhi ya wanyakyusa, na baadhi ya wanyiha kuua mwanaume baada ya kupata Mali sio shida zao na ndio mana wengi wao ni wajane ila wana mpunga wakutosha alafu wanajifanya wanyenyekevu kumbe ni mashetani wa hatari
 
Back
Top Bottom