Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
😃😃😃Hapo ndio waga najiuliza Mzee japo mie Msukuma ila mule vitoto vizuri vipo kuanzia sura na wengne hadi shape kabisa nammiss mno Ngollo
😃😃😃Hapo ndio waga najiuliza Mzee japo mie Msukuma ila mule vitoto vizuri vipo kuanzia sura na wengne hadi shape kabisa nammiss mno Ngollo
Wanyantuzu sio wanawake tu, hata wanaume kukuzamisha ardhini ni kitu kidogo kwao
Mbona hakuna picha tuwaone hao kina SeranWanawake wa kichaga wa afadhali sana tena sana ukilinganisha na wanawake wa kisukuma au wanawake wa kinyantuzu aisee hawa wanawake sio poa kabisa wao kukurushia kisu au kukuambia maneno kama kutaka kukuua ni kawaida sana yaani wanawake wa kinyantuzu wao kwa mali ni pete na kidole yaani wao wanawaza mali tu yaani wao ukiwaoa wao wanawazia mali tu na wao kukuua kisa mali ni kawaida na ni wanawake wenye tamaa sana,ujeuri,chuki na hasira ambazo hazina msingi wowote ule ndiyo maana nililipiga chuki so kama unataka kuoa usioe msukuma( mnyantuzu) ni ma butcher hao
wale ni vibakaNahisi itakua ni asili ya wanawake tu Mbeya kuna kabila la wamalila, na baadhi ya wanyakyusa, na baadhi ya wanyiha kuua mwanaume baada ya kupata Mali sio shida zao na ndio mana wengi wao ni wajane ila wana mpunga wakutosha alafu wanajifanya wanyenyekevu kumbe ni mashetani wa hatari
Ni kabila hilo?Ongeza na wana-Nasa wa hapo Magu
Hawa nao ni nomaa😅Ongeza na wana-Nasa wa hapo Magu
Andika 07..😅"Mademu wangu wote Mimi ninawazimia,
nipeni namba zenu wote nitawapigia,
sijali kabila bali ni zenu tabia,
na uzuri wenu ndivyo vinanivutia...",
Ngwea.
Baulizee😅👌🏽HIVI WANAWAKE KUTOKA SPAIN HAMUWAONI AU WA FRENCH RIVIERA ?
Ugali unahusiana vipi sasa jamani 😹😹Wasukuma hawa hawa wanaokula ugali mkubwa?!
Je, wana nyash?Achana na wanawake wa kichaga kuna hawa wanawake wa kisukuma( wanyantuzu) hawa mmmmh hatari sana
Wana sumu zaoLabda kwenye jeuri na kiburi,nimeisha nao huko kwao!
Hawauwi wanaume kisa mali.
Hebu ondoka hapa. Tumezika ma classmates wawili kisa utopolo wao wa kuoa wachaga. Tena mmoja alikuwa kigogo huko kwenye mfumo. Eti alijitundika kamba. Huyu alipata shambulio dogo la kiharusi akaenda kulazwa KCMC pale. Akafanya physical therapy akarudi kuwa sawa na kurudi kazini. Kuja kugundua mke kumbe keshabadilisha hati zote za nyumba na hela zote kwenye akaunti mbalimbali za benki zimeshahamishwa. Inavyoonekana mwanamke alijua kuwa jamaa atakufa kwa kile kiharusi. Soja akaona isiwe kesi. Akaingia ndani akafunga mlango akaandika wosia wake halafu akajitundika. Jamaa alizikwa kiajabu ajabu maana mkewe alitaka mazishi ya haraka haraka japo walikuwa wakatoliki.Jamani msifikie huko sio wotee mkuu dah
Ukipata MCHAGGA wako wahi chap Ukamtolee MAHARI
WACHAGGA NI DILI
WACHAGGA NI WAPAMBANAJI
USIDANGANYIKE NDOA NI MPANGO WA MUNGU