1. Kuna mnyantuzu
(mwanamke ni kawaida kuuwa mmewe ila mpaka mtoto wake wakiume afikie umri wa kuoa yan kuanzia miaka 18, mwanaume wa kinyantuzu ni mpole ila mbishi na yuko tiari kuua kwa ajili aya mali ie wanaita ndagu ila sio kukaba au kuvamia, ni wakarimu kwenye chakula, kujumuika pamoja, hata unaweza kuishi kwake miaka nenda rudi, wanaishi Bariadi, Meatu na Itilima. wanapenda wanawake weupe, warefu kiasi, ni jamii ambayo haijasoma sana, wanapenda ufugaji na wanaamini sana waganga. huoa wanawake zaidi ya mmoja wanaita mhari na kuna dhehebul inaitwa tola mhale lenye maana ya kuoa wanawke wengi. wana dharau sana, wanawake wengi wanarogana ila ndugu kwa ndugu. hawapendi kuoa mwanamke nje ya msukuma. wanawke wnegi ni weupe na wanashape sana
2. wadakama
hawa wapo kahama, geita na shinyanga mjini hawa ni wapole kiasi ila sio wakarimu, hawapendi kukaribisha chakula ama kujisitiri kwake kama umekosa hata pa kulala, hawa hawachagui sura ya mwanamke kwenye kuoa. wanaamini kwenye waganga ila sio sana
3. wanamweli
hawa wapo mwanza (sengerema), magu na wilaya zote za mwanza, geita na chato, katoro
ni wapole sanaaaana na sio watu wa mambo mengi. hawapendi ubishi na wanapenda kilimo na biashara kidogo. wanawake wao hawarogi na huwa weusi sana.
4. kuna wengine nimewasahau jina wao wanakaa wilaya ya Maswa hawa ni mchanganyiko wa wanyantuzu na wadakama ( wana unyantuzu asilimia 50, na udakama asilimia 50 kulingana na umbali wa mpaka ) hawa sio wajuaji ila wanaamini kwenye waganga kama wanyantuzu,
5. wanyamwezi hawa wanaongea lugha ambayo inakaribiana na kisukuma ila wanatamaduni tofauti kidogo wao. wanawake wao ni wavivu kama watu wa Tanga. wanapenda kumloga mwanaume ili ampende mwanamke.
NB. WASUKUMA WOTE ISIPOKUWA WANYAMWEZI WANAONGEA LUGHA MOJA ISIPOKUWA NAMNA YA KUTAMKA ILA SOUTI YA MANENO NI MOJA