Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 1,023
- 3,334
Mkifika huku mikoa ya Kusini - Wabena, Wanyakyusa, Wangoni, Wamakonde, Wamakua na Wandendeule mniite. Nina mengi ya kusimulia 😂😂😂
Utaongea kwa kukaa au kwa kusimama mkuu!?Mkifika huku mikoa ya Kusini - Wabena, Wanyakyusa, Wangoni, Wamakonde, Wamakua na Wandendeule mniite. Nina mengi ya kusimulia 😂😂😂
Nilichogundua wewe huwajui wasukuma vizuri ushawahi kusikia wapi mke wa kisukuma amempeleka mume mahakamani kisa mali?Wanawake wa kichaga wa afadhali sana tena sana ukilinganisha na wanawake wa kisukuma au wanawake wa kinyantuzu aisee hawa wanawake sio poa kabisa wao kukurushia kisu au kukuambia maneno kama kutaka kukuua ni kawaida sana yaani wanawake wa kinyantuzu wao kwa mali ni pete na kidole yaani wao wanawaza mali tu yaani wao ukiwaoa wao wanawazia mali tu na wao kukuua kisa mali ni kawaida na ni wanawake wenye tamaa sana,ujeuri,chuki na hasira ambazo hazina msingi wowote ule ndiyo maana nililipiga chuki so kama unataka kuoa usioe msukuma( mnyantuzu) ni ma butcher hao
Nilichogundua wewe huwajui wasukuma vizuri ushawahi kusikia wapi mke wa kisukuma amempeleka mume mahakamani kisa mali?
Baridi ni wasukuma?? hahahaha wanyatunzu na wasukuma wa simiyu ni tofauti sana kwaio unaposema wasukuma jaribu kutofautisha hao wasukuma wa wapi hata tabora kuna wasukuma pia hadi morogoro kuna wasukumaHapo bariadi Kuna siku kibao za wasukuma kugawana Mali.
Achana na Ntuzu
Sure masta, wanawake wa Kinyantuzu wanataka mwanaume awe dominant ukiwa submissive umekwisha, Likewise wanawake wa Kikurya. So vijana legelege hawaijui hii code.Nahisi hizi CHANJO zimeondoa kabisa Uanaume kwa rika fulani, maana Mwanaume kulialia sasa kumezidi, Wewe mwanaume unakaa na pensi kucheza game kwenye Tv mwanamke kweli Mnyantuzu asikuwashe makofi
Wamejaliwa!Ugali unahusiana vipi sasa jamani 😹😹
Kuna mambo mtu anaongea unashangaa sijui kaokota wapi, nahisi hata waliokulia Mbeya hii hadithi watakuwa wanaishangaa.Nahisi itakua ni asili ya wanawake tu Mbeya kuna kabila la wamalila, na baadhi ya wanyakyusa, na baadhi ya wanyiha kuua mwanaume baada ya kupata Mali sio shida zao na ndio mana wengi wao ni wajane ila wana mpunga wakutosha alafu wanajifanya wanyenyekevu kumbe ni mashetani wa hatari
Wenye tabia za limbwata wapo TaboraKuua wanaume kisa mali mnawasingizia bhana..!! 😹
Labda malimbwata hapo sawa..!!
Wewe umeruka mkojo ukakanyaga jivi, bora mmchame mnyantuzu au mtutsi ila sio hao wagogo ni mazezeta yaleWanawake ambao hawana hatari ni wagogo tu japo kuwa tatizo lao ni ombaomba sana.
Kaka umemalizamtu yeyote ambaye hana Mungu moyoni mwake, anaweza kutumiwa na shetani muda wowote kufanya lolote, haijalishi kabila lake
Jidanganye hizo kesi zipo sanaNilichogundua wewe huwajui wasukuma vizuri ushawahi kusikia wapi mke wa kisukuma amempeleka mume mahakamani kisa mali?
Sio kweliWanawake wa kisukuma mnaweza mkaachana akaenda kwao hata mali msigawane labda utuambie wasukuma gani unaowazungumzia wewe