Achana na wanawake wa kichaga, kuna hawa wanawake wa kisukuma (wanyantuzu) hawa mmmmh hatari sana

Kinehe Mami
HHao Wapo Bariadi Hasaa Hasa Meatu Huko Ukitaka Chatu, Fisi Wadogo Kama Paka, Mavi Ya Tembo Haa Umepata Chap Chap
 
Huu utafiti wako umekaa kinyumbunyumba sana, ingekuwa vyema ungetoa na chanzo cha habari kilichoripoti habari ya mwanamke au mwanaume kuua kisa Mali kuliko kuleta uzushi potoshi kwa JAMII wewe kende kweli😡😡umetukwaza sana

Mimi yamenikuta
 
Ulienda kushitaki wapi mkuu? Au hiyo habari ilitikisa mtaa wako upi ili tupate ushahidi kabisa kama huu wa kweka?? Sio unaleta story za kijiweni kufurahisha wana Jamvi humu wakati ni mambo ya serious.

Mimi niletee tu tukio ambalo linamhusisha msukuma kaua au kauwawa kwenye ndoa kwa sababu ya Mali ikiwemo chanzo cha habari chenyewe kilichoripoti na sio kutuletea mastory ya kwenye meza za mama ntilie mkiwa mnakula ukoko mandondo

Mimi yamenikuta
 
Mimi hapa mmojawapo
haupo seleous mkuu binafsi sajawahi kusikia kesi ya mwanamke wa kisukuma kumuua mumewe hata kwenda mahakanani ni kutokana na ujuaji wa siku hizi mara dawati la jinsia na shule hizi ndo zinawaharibu lakn wasukuma hawanaga mambo hayo kwanza wanawake wa kisukuma hawaluhusiwr kumiliki mali labda mke wako umemlea kichaga chaga
 
Marehemu hasemwi ila kwa uzuri
Ila huyu alikuwa mtamu acha tu

1791489992721.png
 
Je hao wanyantunzu wanaolewa na wasio wanyantunzu?

Naomba nikukosoe

1.Wanyantuzu
Hapa roho mbaya ni mahali pake, wivu, dharau, uchawi ushahidi wa Gambosi na fisi wa Itilima.
Wizi, uvivu wa kazi, ubaguzi Hadi kwa wasukuma wenzao.

2.Wadakama
Wilaya ya Nzega na Igunga

3.Wanyanzegele
Hawa wanapatikana wilaya ya maswa
Hapa usiguse

3.Wanasa
Hawa wapo wilaya ya busega pembezoni mwa ziwa Victoria, roho nzuri hapa ipo

4.Wanyeng'weli
Mwanza Moja hii na sengerema

5.Wasumbwa
Hawa ndio hupatikana Shinyanga, kahama, Geita na humu Kuna mbegu za kiha.

Wanyamwezi ni kundi tofauti kabisa na wasukuma.
Wanyamwezi nao wamegawanyika na sio jamii Moja.

1.Wakonongo
Wanapatikana wilaya ya sikonge na njia ile yote kama unaelekea Chunya wakipakana na wabungu wa chunya.

2.Wakimbu
Hawa ni wanyamwezi waliochanganya na watu wa Singida hivyo hupatikana sikonge na itiji.

3.Wadakama
Kuna debate ikiwa wadakama ni wanyamwezi au wasukuma ila ukiwa kahama wadakama ni wanyamwezi na ukiwa Tabora wapo wanao waona ni wasukuma.

4.Wasumbwa
Hawa ni wanyamwezi wanao patikana wilaya ya Kaliua na Urambo.
Salaam yao ni Wasiya na ndio husifika sana kwa kulinda asali.

5.Wainyonga
Hawa ni wanyamwezi kama ikiwa unaenda katavi, wamepakana na wilaya ya mlele.

6.Wagala
Hawa ni wanyamwezi waliopo pembezoni mwa ziwa ugala.

7.Wanyanyembe
Hapa ndio wanyamwezi wanao patikana Tabora mjini na wilaya ya Uyuwi.
Ndio maarufu kwa sifa za ulozi na dawa za mapenzi
 
Wachaga mnapenda sana bifu na wasukuma,

Au waliwapa majeraha ya kinyeo
 
Kwahiyo kwa kanda ya ziwa ni kabila au jamii ipi ina wife material?
 
Sikuwahi kujua kuna matabaka mengi hivi ya wasukuma, hao wanyamwezi sijui wadakama tabia ni moja nzega igunga bukene lao moja wanapenda ndumba hatari
 
Back
Top Bottom