Achana na washauri(mentors) kila mtu ana njia ya mafanikio yake

Achana na washauri(mentors) kila mtu ana njia ya mafanikio yake

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Mwanzoni nilikuwa najua mentor hutoa guidelines za mafanikio.

Lakini ukweli ni kwamba njia alizotumia X kufanikiwa ni tofauti na njia utakazo tumia wewe Y kufanikiwa ukiiga utaishia kuingia chaka.

Acha kuexpose mambo yako kwa watu wanaojiita mentor achana nao kwani matatizo yakikukuta hawawezi kuwa msaada kwako.

Kuanzia Leo ishi kwa njia zako na experience zako acha kuiga fulani alifanya vile.

Jifunze jijenge kuwa mpya achana na mentors
Nilikuwepo,
 
Back
Top Bottom