ACHANA NAO

ACHANA NAO

nuporo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
1,534
Reaction score
3,387
ACHANA NAO
______________

Nilimtembelea rafiki yangu Mlengule nyumbani kwake, Mke wake akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama kibao!

Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa zimejaa wali na kachumbari tu.

Baada ya kula nikamuliza Mlengule; _"Kulikoni watoto wale wali na kachumbari wakati sisi tumekula minyama kibao?!"_

Akajibu kwa kujiamini kabisa; _"Achana nao hao wapumbavu wanajifanya hawali mbwa!"_

🤣🤣😆😆😁😁😂😂
 
ndo ushakula hamna jinsi zaidi ya kutapika
Ukitapika atakuona sio mstaarabu labda uende chooni ukajitapishe. Ila si unakua umepata experience ya nyama ya mbwa hata cku nyingine ukilishwa utaijua mapema na kuacha.
 
Back
Top Bottom