Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Jana nimeshuhudia watu wengi wakichelewa kuingai mpirani Taifa huku wakiwa na kadi zao za kieletroniki na kulaumu utaratibu mpya wa manunuzi ya tiketi
Nina wasiwasi hilo litajitokeza tena leo ukizingatia ni mechi kubwa kidogo, wahenga walisema hadhari kabla ya shari
Kwa wenye tiketi unapokwenda mpirani pitia vendor wa selcom jaza kadi yako na fwedha kiwango cha kiingilia uchaguacho na nunua kadi yako ili ukifika mpirani moja kwa moja unaingia uwanjani badala ya kusimama foleni na kuanza kusuguana kutafuta tiketi huku ukihatarisha usalama wa baadhi ya vitu vyaka kama wallet na simu
nimeamua tu kushirkisha baada ya kufuata maelekezo ya karatasi zinazosambazwa wakati unaingia uwanjanu kuhusu mfumo mpya wa tiketi ingawa wengi wanapogaiwa huishia kuzitupa tu bila hata kusoma