Achananeni ni Mawazo Mgando-Huhitaji Kufoleni kwa ajili ta Tiketi Taifa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Jana nimeshuhudia watu wengi wakichelewa kuingai mpirani Taifa huku wakiwa na kadi zao za kieletroniki na kulaumu utaratibu mpya wa manunuzi ya tiketi

Nina wasiwasi hilo litajitokeza tena leo ukizingatia ni mechi kubwa kidogo, wahenga walisema hadhari kabla ya shari

Kwa wenye tiketi unapokwenda mpirani pitia vendor wa selcom jaza kadi yako na fwedha kiwango cha kiingilia uchaguacho na nunua kadi yako ili ukifika mpirani moja kwa moja unaingia uwanjani badala ya kusimama foleni na kuanza kusuguana kutafuta tiketi huku ukihatarisha usalama wa baadhi ya vitu vyaka kama wallet na simu

nimeamua tu kushirkisha baada ya kufuata maelekezo ya karatasi zinazosambazwa wakati unaingia uwanjanu kuhusu mfumo mpya wa tiketi ingawa wengi wanapogaiwa huishia kuzitupa tu bila hata kusoma

3.jpg
 
Wengi pia hawajazisajilli hizi card, ili kumuwezesha kununua tiketi, hata akiwa amelala kitandani kwake, kupitia tu simu yake kwa huduma M-pesa, airtel mane, tigo pesa.
 
usajili ni RAHISI tu wameelekeza _

*150*50#
 
ukitaka usipate usumbufu wa kwenda selcom kama wewe ni wa kiingilio cha 5000 kama mimi unaweza kujaza 10,000 ama 20,000 kabisa hiyo utaingia mechi 4 za Ligi kwa kununua tiketi na ukifika mlangoni unaigusisha kadi tu na kuingia

nashangaa pale nje watu wanalalama sana utaratibu mpbu kumbe ndio mzuri zaidi kwa karne hii
 
Jana nimeshuhudia watu wengi wakichelewa kuingai mpirani Taifa huku wakiwa na kadi zao za kieletroniki na kulaumu utaratibu mpya wa manunuzi ya tiketi

Nina wasiwasi hilo litajitokeza tena leo ukizingatia ni mechi kubwa kidogo, wahenga walisema hadhari kabla ya shari

Kwa wenye tiketi unapokwenda mpirani pitia vendor wa selcom jaza kadi yako na fwedha kiwango cha kiingilia uchaguacho na nunua kadi yako ili ukifika mpirani moja kwa moja unaingia uwanjani badala ya kusimama foleni na kuanza kusuguana kutafuta tiketi huku ukihatarisha usalama wa baadhi ya vitu vyaka kama wallet na simu

nimeamua tu kushirkisha baada ya kufuata maelekezo ya karatasi zinazosambazwa wakati unaingia uwanjanu kuhusu mfumo mpya wa tiketi ingawa wengi wanapogaiwa huishia kuzitupa tu bila hata kusoma

3.jpg
Mkuu hivi ili swala la kutuuzia kadi Tsh3000/=alafu hakuna receipt ya kasi si wizi huu au mnasemaje?
 
Llabda uliponunulia hukupewa receipt ila mimi nilipewa tena ya electronic na kama hilo lafanyika basi ripoti mara moja maana kama kwa mwali kunaliwa na kwa kungwi kuliwe pia
 
Back
Top Bottom