Achari ya ukwaju

Achari ya ukwaju

samua

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
1,029
Reaction score
708
Mahitaji
Ukwaju 2 paketi
Chumvi kiasi
Tende 1/4 kikombe
Pilipili mbichi 1

Namna ya kutayarisha
Toa kokwa ukwaju kisha roweka na maji moto.
Chambua tende utoe kokwa weka kando.
Tia vitu vyote katika mashine saga hadi vitu visagike.
Mimina katika bakuli tayari kwa kuliwa.

Note:
Ikiwa huna tende unaweza kutumia sukari vijiko 2.
Inaweza kuliwa na vyakula vingi kama wali pilau kachori n.k.
 
Faida zake inaongeza hamu ya kula vitamini kwenye ukwaju na tende
 
Back
Top Bottom