GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Natembea sana na ukiniuliza leo hii kuwa tokea Fatma Nyangasa ateuliwe kuwa DC Kigamboni kuna kipi cha maana alichofanya jibu langu la haraka nitakujibu hakuna.
Ila ukiniuliza leo hii tokea Albert Msando ateuliwe kuwa DC Morogoro na kafanya nini huko ( ukizingatia GENTAMYCINE ) nilikuwa huko kwa Miezi Miwili tu nitakuja na Mambo mengi na yenye Tija hasa Kimaendeleo ameyafanya huko.
OMBI
Siku zingine mkiwa mnatuteulia Watu ( Watendaji ) Wenu huko Serikalini jitahidini muwe mnatuambia kuwa huyu ni Shosti Wangu ( Shoga yangu ) wa Siku nyingi na hawa Wengine nipo nao tu nawabakisha ila siwapendi ili Watanzania Wachache wenye Akili tuwe tunawaelewa sawa?