Acheni 'Double Standards' utampelekaje Fatma Nyangasa Morogoro badala ya 'Kumpromoti' Albert Msando ambaye kafanya Makubwa huko?

Acheni 'Double Standards' utampelekaje Fatma Nyangasa Morogoro badala ya 'Kumpromoti' Albert Msando ambaye kafanya Makubwa huko?

Unakaa mtu mzima na akili zako eti unajadili mkuu wa wilaya au mkoa kafanya maendeleo gani. Mtu asiye na bajeti yoyote ya kuisimamia anafanya nini zaidi ya kuimba mapambio na kusaidi chama kuiba uchaguzi? Hopeless
cjui watakuelewa????!!!!!????
 
Natembea sana na ukiniuliza leo hii kuwa tokea Fatma Nyangasa ateuliwe kuwa DC Kigamboni kuna kipi cha maana alichofanya jibu langu la haraka nitakujibu hakuna.

Ila ukiniuliza leo hii tokea Albert Msando ateuliwe kuwa DC Morogoro na kafanya nini huko ( ukizingatia GENTAMYCINE ) nilikuwa huko kwa Miezi Miwili tu nitakuja na Mambo mengi na yenye Tija hasa Kimaendeleo ameyafanya huko.

OMBI

Siku zingine mkiwa mnatuteulia Watu ( Watendaji ) Wenu huko Serikalini jitahidini muwe mnatuambia kuwa huyu ni Shosti Wangu ( Shoga yangu ) wa Siku nyingi na hawa Wengine nipo nao tu nawabakisha ila siwapendi ili Watanzania Wachache wenye Akili tuwe tunawaelewa sawa?
Hakuna anaefaa Kati yao,wote ni magalasa.
 
Naona katika hasara tuliyopata ni wana kisarawe.kwa jojo kuondoka alianza kuipaisha kisarawe bas tu
 
Back
Top Bottom