YEGO MLA
Senior Member
- Dec 4, 2019
- 196
- 200
NdiyoMkeka wa ma DC unakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoMkeka wa ma DC unakuja
Huwezi kufungua jarada jipya juu ya kësi nyingne uliyoileta. Futa kësi ya kwanza halafu Leta jarada Lako upyaMsoma Habari wa Leo Radio One Saa 1 Kamili Asubuhi hii aniombe Radhi upesi kwani ameniingiza Chaka na Katuingiza Chaka Wasikilizaji wao ( wake ) kwa Kumtaja DC wa Kigamboni Fatma Nyangasa.
Naomba Radhi kwa Kukosea hili Jina kwa Kuingizwa Chaka na Msoma Taarifa ya Habari huyo wa Radio One Leo Asubuhi.
Hata hivyo Hoja yangu ya Msingi GENTAMYCINE iko pale pale kuwa kwanini Albert Msando DC wa Morogoro pamoja na Kufanya huko makubwa hajawa 'Promoted' na Mteuwaji Mkuu wa Tanzania?
Nimeshatoa Ufafanuzi na Kuomba Radhi kwa Kukengeuka huko tatizo liko wapi?Tofautisha.
Fatma Almas Nyangassa.
Fatma Mwasa.
Umechanganya hayo majina.
Asante kwa Ufafanuzi huu na Masahihisho pia.Mzee ni Fatma Mwasa alishawahi kuwa Rc Tabora mzee magu akala kichwa.
Kwani kuna Mkeka mpya wa DC's Mkuu umetoka hivi punde baada ya ule wa RC's?Dah aisee wanamtoa uyu mwamba Morogoro aisee wangempa basi mkoa pamojana zile kashfa zake za wanawake kabla hajapewa madaraka nilijua atakuja kuboronga Tu apa Moro Ila alilofanya ni zaidi ya viongozi wengi niliyo wahi kuwaona wakipita apa kajitolea snaa Kuwainua watu WA chini hasa wale wamachinga WA barabarani kawajengea vibanda tena vizuri vya kueleweka hakwenda kuwadampo kama viongozi wengine walivyo fanya
Idiot.Huwezi kufungua jarada jipya juu ya kësi nyingne uliyoileta. Futa kësi ya kwanza halafu Leta jarada Lako upya
Ndiyo Mkuu nilikosea kumbe si Yeye.Nyangasa bado yupo mjengoni Geza...
Promoshoni haitegemei akili.Msoma Habari wa Leo Radio One Saa 1 Kamili Asubuhi hii aniombe Radhi upesi kwani ameniingiza Chaka na Katuingiza Chaka Wasikilizaji wao ( wake ) kwa Kumtaja DC wa Kigamboni Fatma Nyangasa.
Naomba Radhi kwa Kukosea hili Jina kwa Kuingizwa Chaka na Msoma Taarifa ya Habari huyo wa Radio One Leo Asubuhi.
Hata hivyo Hoja yangu ya Msingi GENTAMYCINE iko pale pale kuwa kwanini Albert Msando DC wa Morogoro pamoja na Kufanya huko makubwa hajawa 'Promoted' na Mteuwaji Mkuu wa Tanzania?
Kuliko waliopoteza muda wao Kukuzaa?Hovyo kabisa we
Unayemzungumzia wewe na aliyeteuliwa ni watu wawili tofautiNatembea sana na ukiniuliza leo hii kuwa tokea Fatma Nyangasa ateuliwe kuwa DC Kigamboni kuna kipi cha maana alichofanya jibu langu la haraka nitakujibu hakuna.
Ila ukiniuliza leo hii tokea Albert Msando ateuliwe kuwa DC Morogoro na kafanya nini huko ( ukizingatia GENTAMYCINE ) nilikuwa huko kwa Miezi Miwili tu nitakuja na Mambo mengi na yenye Tija hasa Kimaendeleo ameyafanya huko.
OMBI
Siku zingine mkiwa mnatuteulia Watu ( Watendaji ) Wenu huko Serikalini jitahidini muwe mnatuambia kuwa huyu ni Shosti Wangu ( Shoga yangu ) wa Siku nyingi na hawa Wengine nipo nao tu nawabakisha ila siwapendi ili Watanzania Wachache wenye Akili tuwe tunawaelewa sawa?
PointUnakaa mtu mzima na akili zako eti unajadili mkuu wa wilaya au mkoa kafanya maendeleo gani. Mtu asiye na bajeti yoyote ya kuisimamia anafanya nini zaidi ya kuimba mapambio na kusaidi chama kuiba uchaguzi? Hopeless
Hivi si nimeshalitolea Ufafanuzi hili? Huwa hamsomi Kwanza Comments za Watu kabla ya Kukurupuka Kwenu?Unayemzungumzia wewe na aliyeteuliwa ni watu wawili tofauti
Ningekuwa na Mume ungenifuata PM na Kujitangaza Kwangu kuwa Wewe ni Shoga na unataka nikuingilie Kinyume na Maumbile?Huyu sijui mumewe anamuhudumia muda gani, kutwa anaanzisha nyuzi humu ndani.
Ombeni kabisa PA System ili muwatangazie Watanzania Wote kuwa GENTAMYCINE KAKOSEA na KAUMBUKA LEO sawa?
Nibadilike kwamba niache Kukupiga 'Kimoko' cha 'Kimayele' na niwe sasa nakupiga vingi 'Hatrick' tupu tu au?GENTAMYCINE bado hujaomba msamaha Kwa kufananisha uongozi wa juu wa Nchi kua una upendeleo wa kuteuana kishoga shoga.Rais Samia ateua wakuu wa mikoa wapya, tisa watemwa | Mwananchi
www.mwananchi.co.tz
Bado una mfumo dime au hujaacha kumshsbikia Mwendazake, ukabila wake hukuuona mpaka ulinganishe na uteuzi wa kishoga.
Badilika
hapo kuiambiw Serikali wakwambie huyu ni Shosti wangu huoni unamkosea Kiongozi wetu, kwani usirudi kwenu Banyamulenge akagufue limzuka lako linaliwa na funza? Shida mlifikiri mtajipsnga milele, hii Nchi ya wenyeweOMBI
Siku zingine mkiwa mnatuteulia Watu ( Watendaji ) Wenu huko Serikalini jitahidini muwe mnatuambia kuwa huyu ni Shosti Wangu ( Shoga yangu ) wa Siku nyingi na hawa Wengine nipo nao tu nawabakisha ila siwapendi ili Watanzania Wachache wenye Akili tuwe tunawaelewa sawa?