Umemwambia mhusika, au umeona uje utupe jiwe gizani...wadada wa mjini unampa lift... anakaa siti ya mbele
anafunga na mkanda dereva unajiuliza dah..huyu
dada anajua sheria za barabarani..kumbe anataka
kujipiga selfie akapost instagram tena utakuta
anajipiga selfie kama ishirini kwa pozi tofauti
tofauti...
Ndioooo maana nikaona dada mmoja katupia picha fb, whatsapp profile, na insta kakini kila nikicheki zile picha naona "kagangalagata" kumbe huyu mdada atakuwa alijipiga selfie wakati ameniomba lift kwenda Mwanza!Mimi cku hizi cwapi lifti maana nilikuta gari yangu insta mmpaka nikaishiwa pozi
Pole sana mkuu... Vipi ulifanikiwa kumkamua nawewe? Au alikutosa mazima?Mm gari yangu kuna dada aliazima halafu nasikia wakaenda kugeuza guest, iliniuma sana sana nilipoona ushahidi wa picha kwa sababu nilikuwa namtongoza halafu anazingua.
Umeniacha kwenye hilo nenoNdioooo maana nikaona dada mmoja katupia picha fb, whatsapp profile, na insta kakini kila nikicheki zile picha naona "kagangalagata" kumbe huyu mdada atakuwa alijipiga selfie wakati ameniomba lift kwenda Mwanza!
Kwahio ukiwapa lift kabla ya kupanda wanaanza kupiga selfies?!Mimi cku hizi cwapi lifti maana nilikuta gari yangu insta mmpaka nikaishiwa pozi
Labda sio gari yako...... vits/passo utajuaje hii yangu kwa kuangalia selfie ndani ya gari au selfie wanapiga kwenye number plate?Ndioooo maana nikaona dada mmoja katupia picha fb, whatsapp profile, na insta kakini kila nikicheki zile picha naona "kagangalagata" kumbe huyu mdada atakuwa alijipiga selfie wakati ameniomba lift kwenda Mwanza!