STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Wadada wa mjini unampa lift anakaa siti ya mbele anafunga na mkanda dereva unajiuliza dah huyu dada anajua sheria za barabarani, kumbe anataka
kujipiga selfie akapost instagram tena utakuta anajipiga selfie kama ishirini kwa pozi tofauti tofauti.
kujipiga selfie akapost instagram tena utakuta anajipiga selfie kama ishirini kwa pozi tofauti tofauti.