GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #61
Kuna Infinix ghali kuzidi baadhi ya Samsung! Kumiliki Infinix si ishara ya unyonge, ni uchaguzi wa "mlaji"Uko sahihi ndugu. Waache dharau. Wa Infinix kainunia kulingana na kipato chake. Huyo mwenye kipato kikubwa amekipata kwa rehma za Mungu sawa na sisi wenye kidogo. Mtoaji ni mmoja na akiamua kumnyang'anya mtu hashindwi!!