Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno yanaumba ndugu yangu ndiyo maana mtu kama baba akikulaani na kweli unalaanika. Hata kama amekufa maneno yanaendelea kutenda kazi.Acha porojo wewe. Hiyo ni coincidence tu ukishakufa huna influence yoyote tena kwa yatakayotokea duniani, influence yako itabaki kama ulifanya ya maana tu ila kama ulipuyanga unazidiwa hata na mti uliochomwa mkaa maana mkaa utapikia watu wale chakula.
Nimeshuhudia moja ajali babati wakimtoa marehemu mwanza akauwa mdogo wake aliyemuachia maagizoMbona wengi tu Kilimanjaro walishasema wakifa wazikwe sehemu flani lakini ndugu wakakataa wakawapeleka kuzikwa kwao na hakuna chochote kilichotokea tena maelfu na maelfu. Sasa ito mifano miwili tu. Iyo ni ajali kama ajali zingine na mwenye kosa dereva fuso.
Miafrika acheni mamboya kysenge
KabisaNi kweli mtu kasema mnizike hapa nyie mnalazimisha Kwa maslahi yenu lazima mkutane na moto
Mkanizike sehemu ambayo hata hawanikumbuki halafu muiache familia yangu mjini?Nani kasema hivyo?Kwanza nizikwe jirani na nyumba yangu ili niwe natoroka makaburini mara mojamoja nione waliokuwa wanamtamani mama Bhoke! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo hapo sasa maana utaratibu wa kuacha WOSIA unajulikana, sasa isijekuwa Mrema alikuwa tuu anaongea wakiwa wanapata mbege na kitimoto [emoji23] [emoji23]Leta huo ushahidi wa mrema kwamba alisema asizikwe Kilimanjaro...
Vinginevyo haya ni mawazo na imani yako binafsi.
Mimi huwa nasema siku zote chanzo kikuu cha ajali nchi hii ni ufinyu wa barabara, dawa ni walau highways zote kuu kuwa na njia (lanes) 3, yaani walau waongeze lane ya 3 kwenye hizi 2 za sasa, hutaona hizi ajali za kugongana uso kwa uso.Mbona wengi tu Kilimanjaro walishasema wakifa wazikwe sehemu flani lakini ndugu wakakataa wakawapeleka kuzikwa kwao na hakuna chochote kilichotokea tena maelfu na maelfu. Sasa ito mifano miwili tu. Iyo ni ajali kama ajali zingine na mwenye kosa dereva fuso.
Miafrika acheni mamboya kysenge
Je asipokufa pumbav kabisa nyie mna mchuria jamaa kisa tu ni mleviNina Ndugu yangu Mmoja Mlevi balaa alishasema Akifa ( Akidanchi ) tu katika Jeneza lake tumuwekee Safari Lager Tatu na Mzinga Mmoja wa Konyagi hivyo tayari tumeshatenga pembeni Bajeti kwa ajili hiyo. Hatutaki kabisa kwenda Kinyume nae ysije kutupata ya Mrema na Tukio zima la Korogwe.
Kunywa bia au pombe yoyote ni hela.Wengine si kwamba hawataki kunywa pombe.Hawana hela!😜😜😜😜Wachaga wanataka wakanywe mbege na kukesha kunywa bia Mombo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkanizike sehemu ambayo hata hawanikumbuki halafu muiache familia yangu mjini?Nani kasema hivyo?Kwanza nizikwe jirani na nyumba yangu ili niwe natoroka makaburini mara mojamoja nione waliokuwa wanamtamani mama Bhoke! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au una maoni gani mkuu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]