Acheni kulazimisha kumpeleka kumzika marehemu kule ambako alikataa alipokuwa hai

Maneno yanaumba ndugu yangu ndiyo maana mtu kama baba akikulaani na kweli unalaanika. Hata kama amekufa maneno yanaendelea kutenda kazi.
 
Ile ajali ni bahati mbaya kama ajali nyingine na chanzo tayari kinajulikana ni uzembe wa dereva wa fuso ku overtake sehemu mbaya bila tahadhari.
Ila kwakuwa walikuwa wanasafirisha mwili wa marehemu unayoyasema kibongo bongo niliyatarajia kwa 100%!!.

Hiyo chai yako ningeinywa angalau chanzo cha ajali hakijulikani kwamba imetokea sehemu plain isiyo hatarishi kabisa...hakuna kugongana na gari yoyote wala gurudumu lolote lile kupasuka!.
 
Nimeshuhudia moja ajali babati wakimtoa marehemu mwanza akauwa mdogo wake aliyemuachia maagizo
 
Nipo nyumaaa sana mrema nini kimetokea sielewi kitu huku kwetu musoma kwitare mtandao shida sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leta huo ushahidi wa mrema kwamba alisema asizikwe Kilimanjaro...

Vinginevyo haya ni mawazo na imani yako binafsi.
Ndiyo hapo sasa maana utaratibu wa kuacha WOSIA unajulikana, sasa isijekuwa Mrema alikuwa tuu anaongea wakiwa wanapata mbege na kitimoto [emoji23] [emoji23]
 
Mimi huwa nasema siku zote chanzo kikuu cha ajali nchi hii ni ufinyu wa barabara, dawa ni walau highways zote kuu kuwa na njia (lanes) 3, yaani walau waongeze lane ya 3 kwenye hizi 2 za sasa, hutaona hizi ajali za kugongana uso kwa uso.
 
Je asipokufa pumbav kabisa nyie mna mchuria jamaa kisa tu ni mlevi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuzikwa Dar kwataka moyo.
Sio kwa joto hili.
Bora kule mlimani angalau ardhi imepoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…