Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Huu ni uzushi usio na kichwa wala miguu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haijabatilisha ina maana kuwa bado ni wabunge wa Chadema
Huu ni uzushi usio na kichwa wala miguu.
View attachment 2270783
Huu ni uzushi usio na kichwa wala miguu.
View attachment 2270783
Huu ni uzushi usio na kichwa wala miguu.
View attachment 2270783
Nani kasema?
Aisee..Katiba inataka mbunge adhaminiwe na chama. Sasa chama kimekufukuza Tena kwa kura nyingi, hivyo udhamini wa chama ukafikia mwisho.
Elewa mkuu hawajawa wabunge batili kwa amri ya mahakama. We umeishia la ngapi?
Elewa mkuu hawajawa wabunge batili kwa amri ya mahakama. We umeishia la ngapi?
Acha kujitoa fahamu wewe walifukuzwa wakaenda kupinga mahakamani mahakama ikatupilia mbali madai yao halafu wewe unadanganya ona aibu hata kidogo basiElewa mkuu hawajawa wabunge batili kwa amri ya mahakama. We umeishia la ngapi?
Shida yetu ni ujuvi basi na ujuzi eidha tunadhani kila kitu ni propaganda....hawana chama hao.
..mahakama haijabatilisha uamuzi wa Chadema kuwafukuza uanachama.
Wanasubiri mahaka iwanullify.
Ni wabunge halali wa CDM,na Mbowe anajua kila kitu
We unajua Sheria kuliko Prof. Safar Jana katoa ufafanuzi kuwa wanaingia bungeni kimakosa.Wapi mahakama imesema hawa sio wabunge halali?
Shida yetu ni ujuvi basi na ujuzi eidha tunadhani kila kitu ni propaganda..
Lini kesi imesikilizwa? Umesikia shahidi hata mmoja kaitwa?
Kilichofanyika hatua ya awali mwakili upande wa walalamikiwa walihoji uhalali au utaratibu wa kufunguliwa kesi kama ulikuwa sasa kwa kuangalia vipengele 6. Hiyo huitwa Pingamizi la Awali au Preliminary Objections. PO ukishinda zina hukumu mbili kubwa ni kutupwa kesi lakini inatoa fursa kwa aliyeshindwa kuanza upya kwa kurebisha mapungufu yalokuwepo. Anafungua upya.
Hujawahi kusikia hata kesi mama mtu anaachiwa halafu anakamatwa hapohapo?
Kifupi kesi imeanza upya