Acheni kupotosha watu. Hakuna mwana CCM aliyehongwa, CCM inauwezo wa kununua hizi pikipiki

CCM imekosa kabisa mbinu.

Imeamua kutumia pesa za UMMA kwenye kila jambo lake.

Mnazidi kuchochea chuki kwa wananchi na kufanya Rais aonekani hamnazo. Badilikeni.
 
Mwarabu amegawa pesa mpaka vipofu wameona, usijaribu kutetea huo ujinga wenu, mnakula rushwa kama mchwa sijui mna matumbo ya aina gani viumbe msioshiba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…