Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Likitajwa jina mbowe some CCM members Wana harisha huko..Huo ndiwo UKWELI!
Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!
Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya hatari! Na Kapuya kuutuhumu ukumbi wako uliovunjiliwa mbali na Magufuri nao ni sehemu ya vitu viliyokuwa vinaharibu maadili ya Watanzania pia.
Nenda Kamanda na achana na mbilimbili za wachumia tumbo-nia yao ni kukuharibia mwishoni.
Kipindi hicho!Likitajwa jina mbowe some CCM members Wana harisha huko..
Sijasikia kwa lipumba kua mwenyekiti wa CUF kwa miaka 30
Ila kwa mbowe inaonyesha wengi hasa CCM wanatamani mbowe atoke ili chama kififie
Mbowe akifa mwenyekiti utakuwa wewe?Likitajwa jina mbowe some CCM members Wana harisha huko..
Sijasikia kwa lipumba kua mwenyekiti wa CUF kwa miaka 30
Ila kwa mbowe inaonyesha wengi hasa CCM wanatamani mbowe atoke ili chama kififie/ kife.
Kwani tundu angebakia kua makamu mwenyekiti na wakafanya TAG TIME Mbona ingekua vyema Zaid kwa chadema
Kama ni vice versa Basi WATANZANIA/ WADANGANYIKA tunachezewa drama Kama za REMI kwenye THE BLACK HERMIT by Ngũgĩ wa Thiong'o
Alafu vishu kuna madam anakutafutta kule jukwaa la vyakula....Amuachie Lissu, chadema iwe chadema kweli. Sio hii imepoooa kama ubongo wa Poor Brain
Kachokwa na nani?Huo ndiwo UKWELI!
Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!
Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya hatari! Na Kapuya kuutuhumu ukumbi wako uliovunjiliwa mbali na Magufuri nao ni sehemu ya vitu viliyokuwa vinaharibu maadili ya Watanzania pia.
Nenda Kamanda na achana na mbilimbili za wachumia tumbo-nia yao ni kukuharibia mwishoni.
Mbowe alitakiwa kung'atuka mwenyewe miaka mingi sana iliyopita.Huo ndiwo UKWELI!
Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!
Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya hatari! Na Kapuya kuutuhumu ukumbi wako uliovunjiliwa mbali na Magufuri nao ni sehemu ya vitu viliyokuwa vinaharibu maadili ya Watanzania pia.
Nenda Kamanda na achana na mbilimbili za wachumia tumbo-nia yao ni kukuharibia mwishoni.
Atakua marehemu Babu yako.Mbowe akifa mwenyekiti utakuwa wewe?
Mbowe hatujamchoka lakini tunataka apumzike apishe mawazo mapyaHuo ndiwo UKWELI!
Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!
Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya hatari! Na Kapuya kuutuhumu ukumbi wako uliovunjiliwa mbali na Magufuri nao ni sehemu ya vitu viliyokuwa vinaharibu maadili ya Watanzania pia.
Nenda Kamanda na achana na mbilimbili za wachumia tumbo-nia yao ni kukuharibia mwishoni.
Pm yangu ipo wazi mkuu, akuye tuAlafu vishu kuna madam anakutafutta kule jukwaa la vyakula....
I don't know what going on there ila.u ahitajika mkuu
Sawa sawa vishu mapema kabisa tawapa muongozo mkuuPm yangu ipo wazi mkuu, akuye tu
Mbowe alitakiwa ahachie uongozi pale karata yake ya kumnadi Lowassa ilipo fell,hapo alitakiwa ahachie uongozi basi tu tamaa zake, chadema inamongonyoka mikononi mwake.Huo ndiwo UKWELI!
Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!
Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya hatari! Na Kapuya kuutuhumu ukumbi wako uliovunjiliwa mbali na Magufuri nao ni sehemu ya vitu viliyokuwa vinaharibu maadili ya Watanzania pia.
Nenda Kamanda na achana na mbilimbili za wachumia tumbo-nia yao ni kukuharibia mwishoni.
Likitajwa jina mbowe some CCM members Wana harisha huko..
Sijasikia kwa lipumba kua mwenyekiti wa CUF kwa miaka 30
Ila kwa mbowe inaonyesha wengi hasa CCM wanatamani mbowe atoke ili chama kififie/ kife.
Kwani tundu angebakia kua makamu mwenyekiti na wakafanya TAG TIME Mbona ingekua vyema Zaid kwa chadema
Kama ni vice versa Basi WATANZANIA/ WADANGANYIKA tunachezewa drama Kama za REMI kwenye THE BLACK HERMIT by Ngũgĩ wa Thiong'o
Kapigeni kura acheni keleleMbowe hatujamchoka lakini tunataka apumzike apishe mawazo mapya