Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Huo ndiwo UKWELI!
Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!
Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya hatari! Na Kapuya kuutuhumu ukumbi wako uliovunjiliwa mbali na Magufuri nao ni sehemu ya vitu viliyokuwa vinaharibu maadili ya Watanzania pia.
Nenda Kamanda na achana na mbilimbili za wachumia tumbo-nia yao ni kukuharibia mwishoni.