Acheni kuremba mwandiko, Mbowe umeshachokwa

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Huo ndiwo UKWELI!

Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!

Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya hatari! Na Kapuya kuutuhumu ukumbi wako uliovunjiliwa mbali na Magufuri nao ni sehemu ya vitu viliyokuwa vinaharibu maadili ya Watanzania pia.

Nenda Kamanda na achana na mbilimbili za wachumia tumbo-nia yao ni kukuharibia mwishoni.
 
Likitajwa jina mbowe some CCM members Wana harisha huko..

Sijasikia kwa lipumba kua mwenyekiti wa CUF kwa miaka 30

Ila kwa mbowe inaonyesha wengi hasa CCM wanatamani mbowe atoke ili chama kififie/ kife.

Kwani tundu angebakia kua makamu mwenyekiti na wakafanya TAG TIME Mbona ingekua vyema Zaid kwa chadema

Kama ni vice versa Basi WATANZANIA/ WADANGANYIKA tunachezewa drama Kama za REMI kwenye THE BLACK HERMIT by Ngũgĩ wa Thiong'o
 
Ila kwa mbowe inaonyesha wengi hasa CCM wanatamani mbowe atoke ili chama kififie
Kipindi hicho!

Kwa sasa Mbowe ni hitaji la CCM kuliko wakati wowote.

Mwacheni LY wa watu akapumzike enyi wapiga mbilimbili.
 
Likitajwa jina mbowe some CCM members Wana harisha huko..

Sijasikia kwa lipumba kua mwenyekiti wa CUF kwa miaka 30

Ila kwa mbowe inaonyesha wengi hasa CCM wanatamani mbowe atoke ili chama kififie/ kife.

Kwani tundu angebakia kua makamu mwenyekiti na wakafanya TAG TIME Mbona ingekua vyema Zaid kwa chadema

Kama ni vice versa Basi WATANZANIA/ WADANGANYIKA tunachezewa drama Kama za REMI kwenye THE BLACK HERMIT by Ngũgĩ wa Thiong'o
Mbowe akifa mwenyekiti utakuwa wewe?
 
Huo ndiwo UKWELI!

Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!

Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya hatari! Na Kapuya kuutuhumu ukumbi wako uliovunjiliwa mbali na Magufuri nao ni sehemu ya vitu viliyokuwa vinaharibu maadili ya Watanzania pia.

Nenda Kamanda na achana na mbilimbili za wachumia tumbo-nia yao ni kukuharibia mwishoni.
Kachokwa na nani?

Yani mnamuamlia mtu Maamuzi na hatima yake?
 
Kushangilia kifo cha Magufuli ilikuwa laana kubwa kwake
 
Huo ndiwo UKWELI!

Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!

Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya hatari! Na Kapuya kuutuhumu ukumbi wako uliovunjiliwa mbali na Magufuri nao ni sehemu ya vitu viliyokuwa vinaharibu maadili ya Watanzania pia.

Nenda Kamanda na achana na mbilimbili za wachumia tumbo-nia yao ni kukuharibia mwishoni.
Mbowe alitakiwa kung'atuka mwenyewe miaka mingi sana iliyopita.

Ni aibu chama cha upinzani kinachojiita cha maendeleo na demokrasia kuwa na mwenyekiti mmoja miaka ishirini, wakati chama tawala ambacho upinzani inakisema sana kinabadilisha wenyeviti kila miaka 10.
 
Huo ndiwo UKWELI!

Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!

Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya hatari! Na Kapuya kuutuhumu ukumbi wako uliovunjiliwa mbali na Magufuri nao ni sehemu ya vitu viliyokuwa vinaharibu maadili ya Watanzania pia.

Nenda Kamanda na achana na mbilimbili za wachumia tumbo-nia yao ni kukuharibia mwishoni.
Mbowe hatujamchoka lakini tunataka apumzike apishe mawazo mapya
 
Huo ndiwo UKWELI!

Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!

Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya hatari! Na Kapuya kuutuhumu ukumbi wako uliovunjiliwa mbali na Magufuri nao ni sehemu ya vitu viliyokuwa vinaharibu maadili ya Watanzania pia.

Nenda Kamanda na achana na mbilimbili za wachumia tumbo-nia yao ni kukuharibia mwishoni.
Mbowe alitakiwa ahachie uongozi pale karata yake ya kumnadi Lowassa ilipo fell,hapo alitakiwa ahachie uongozi basi tu tamaa zake, chadema inamongonyoka mikononi mwake.
 
Likitajwa jina mbowe some CCM members Wana harisha huko..

Sijasikia kwa lipumba kua mwenyekiti wa CUF kwa miaka 30

Ila kwa mbowe inaonyesha wengi hasa CCM wanatamani mbowe atoke ili chama kififie/ kife.

Kwani tundu angebakia kua makamu mwenyekiti na wakafanya TAG TIME Mbona ingekua vyema Zaid kwa chadema

Kama ni vice versa Basi WATANZANIA/ WADANGANYIKA tunachezewa drama Kama za REMI kwenye THE BLACK HERMIT by Ngũgĩ wa Thiong'o

Dawa huingia pole pole:

GfOQmW0XAAAb4Um.jpeg
 
Back
Top Bottom